Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa ajili ya nini hasa? Tupe tafiti inayoonyesha hiyo 30% contribution vinginevyo ni porojo za kujifariji.
 
Jamaa umeongea kiunyonge Sana
.

Ukielewa maana ya GDP ndio utajua kuna Nini?
..

Rudisheni GDP ya Busega Simiyu Ili tupunguze figures ya Mwanza.
Yaani wewe uelewe GDP halafu mimi nisielewe...?! hata ikirudishwa Mbeya haisogei, Li Mbeya ni li kubwa lakini hakuna kitu hebu jiulize kutoka Mbeya Mjini hadi Rungwe ni kama km 298 eti bado hiyo ni Mbeya...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Unaropokaga tuu wewe hujawahi kuwa na akili 😁😁..

Mbeya-Kyela km 120 hiyo km 298 ya Rungwe umeitoa wapi?
 
Vile stendi ya nyegezi haijakamilika vizuri.huko mtandaonj haters washapagawa ..
..hata haters hawakubaliani kuwa mbeya ni jiji kubwa
...hapo hizo terminal hazikamilika vizuri

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wilaya gani hiyo ambayo ilikua Mwanza ikapelekwa Simiyu na ina figures Nyingi za kuiondoa Mwanza namba 2
 
Wakati kusini mkisubiri ruzuku ndio mjenge miradi yenu huku hatuna huo muda .. mapato ya ndani yanatosheleza Kila kitu ...kahama ni republic
View attachment 2383024
Sorry to say this office building is Ugly and dirty..😁😁

Kahama mnatia aibu Sana kiukweli yaani hilo ndio jengo la Manispaa?🀣🀣

Fananisha Njombe TC DED Office πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-064144.png
    162.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221011-064129.png
    123.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221011-064150.png
    157.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221011-064120.png
    104.9 KB · Views: 10
Sorry to say this office building is Ugly and dirty..


Kahama mnatia aibu Sana kiukweli yaani hilo ndio jengo la Manispaa?


Fananisha Njombe TC DED Office
..hyo ofisi Ina tofauti Gani na high school ya tambaza pale dar es salaam
 
Hapa ni mapato ya ndani tu ...sio ruzuku na misaada ya wahisani kama huko kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…