Kahama VS Njombe/Mafinga

Moja ya treni la starehe likiwa limesima makambako ambalo linapita almost nchi zote za SADC na hii ndo dhana halisi tunavosema nyanda za juu kusini kumefunguka
 
Unakanyaga nchi zote za SADC sio mumekaribia nchi tatu tu kelele nyingi na hayo Ni mahindi yalikuwa yakipakiliwa makambako kwenda zimbabwe
 

Attachments

  • FB_IMG_16650293941352352.jpg
    30.5 KB · Views: 13
Weka hapa,video nimekuwekea weka jengo hata moja la ghorofa 4 hapa.
Nenda Google tafuta submarine hotel ina gorofa 5 huwezi kuiona kwa hizo video ulizoweka kwa sababu kila mchukua video huwa na interest zake kwani hotel hio iko pembeni na mji sio rahisi kupata video yake kwa hao wanaochukua picha barabarani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kagera as Usual πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221008-152345.png
    151.9 KB · Views: 10
We tulia miradi ya tactic ianze tuone wapi watafidika zaidi na hii miradi, nyie endeleeni kupewa mita kadhaa sisi tukiwaza too far juu ya miradi mikubwa, hapo mlipo sisi tulishatoka miaka 20 iliyopitaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ona ulivyo kiazi,Tactic iko Nchi nzima sasa sijui unawezaje kusema mtafairika zaidi..

Ukiacha hiyo miradi niliyotaja hapo juu kuna Tactic na Kuna Miradi barabara za TanRoads sasa Kwa haraka haraka unadhani wapi watafaidika zaidi Kati ya Mbeya na Mwanza?
 
Ana leta tumiradi twa mitaa eti tubarabara twa mita tatu, wakatati watu wanamiradi ya barabara zaidi ya 15km🀣🀣🀣
Wivu 😁😁.

Bil.20 kutandaza lami jijini MbeyaπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-095342.png
    172 KB · Views: 10
Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Nimeamini Kusini Kumetengwa πŸ˜‚πŸ˜‚..

Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221008-151927.png
    110.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-114513.png
    69 KB · Views: 11
Wakati Mwanza mkinywa maji yenye Kanda,vinyesi vya Binadamu na wanyama sie huku Rukwa ni uhakika πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221004-162544.png
    145.7 KB · Views: 9
Nyanda za Juu ni moto wa kuotea mbali..

Tunakimbiza kwenye sekta zote kuanzia utalii,misitu,kilimo Hadi madini πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220927-195157.png
    46.5 KB · Views: 9
Tunaongelea uwanja wa Ndege kwanza, mbona unatuhamisha????
Yaani hii ndio barabara watu wa Kagera wanafanya sherehe licha ya kupauka na kujaa mavumbi hivyo? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Nimeamini Kusini Kumetengwa πŸ˜‚πŸ˜‚..

Barabra ya Biharamulo vs Nanyumbu πŸ‘‡
 
Tunaongelea uwanja wa Ndege kwanza, mbina unatuhamisha????
nilijuaga songwe ni international airport kumbe ni minor airport nimeona juzi kwenye tovuti ya TAA .ndo nilikuwa amazed international airport Gani haina hata flight za kwenye jirani hapo lilongwe.au bas hata ATCL ikawa na flight za Kila siku .hamna kitu ,,, flight zake ni sawa na za bukoba airport


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana..Unataka international flight kabla ya kukidhi vigezo na kupata certification zinazotakiwa?

Songwe International Airport imekuwa ikididimizwa miaka mingi toka Alivyoondoka Mwandosya..

Kwa sasa tunategemea ipewe clearance ya ndege za Kimataifa baada ya kufungwa taa ,rader,kuletwa vifaa vya Zima moto na uokozi,kukamilishwa kwa njia za kurukia ndege nk..

Na kwa taarifa yako huu utakuwa uwanja maalumu kwa ajili ya ndege za mizigo so just wait mda utasema.
 
Unachekesha sanaaa, tayari ndege mpya ya mizigo B767 Frighter kituo chake kikuu itakuwa ni KIA kwa mujibu wa wazara ya miundo mbinu na usafirishaji, yaani huko msubiri mpaka sugu awe Raisi.
 
Usilinganishe Bukoba airport na sijui songwe ni mbingu na ardhi..
Kuanzia kwenye Airport terminal,abiria na idadi ya flights...


Dhuluma Tu za magu kujenga chato... bukoba kulipaswa kuwepo kajunguti international airport kama ilivyopangwa toka zamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…