Wadau kuna mada mpya imetoka imewekwa humu Jamii Forums ambapo takwim za NBS zimekua favor kwa mikoa ya Kusini na Nyanda za Juu Kusini yaani Kuna Mbeya, Iringa, Njombe Lindi na Mtwara kwa mfuatano katika 10 bora za mikoa zenye utajiri. Mjadala huko ni mkubwa na watu hawaamini macho yao. Nimeshindwa kuinganisha humu ile Topic iko humu JF. Kuna watu hawaamini macho yao. Na siku Mtwara Dev Corridor ikiwa kwenye Full Swing maana yake Magari yote ya Malawi au Zambia watatumia Bandari ya Mtwara kwenda Mbeya au Malawi na makaa ya Mawe na chuma ya Mchuchuma na Liganga. Kwa sasa makaa ya kutosha yanapita kwa wingi pale Mtwara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.