Hahaha we jamaa ndo maana tunasema umejifungia tembea uone watu wanajenga nyumba mzee vijiji hizo saiz kwa njombe Ni Hali ya kawaida Sana Tena sanaKumbuka hapo ni vijijini interior kabisa mzee....acha kutaja visenta center ....namaanisha kijijini...
Kwa Tanzania hii sehemu zenye vijiji vilivyo na nyumba kali na nzr ni kagera na Kilimanjaro na kidogoo kwa wanyakyusa huko mbeya...
Sehemu nyingine ukitoa centres huko pengine hali ni tete...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app




