The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hapa kama BusekeraBarabara za mitaani huko Bukoba...
Huu ni mtaa wa bukango kata Nshambya View attachment 2361685View attachment 2361686
Na hili ndo tatizo mtu kajifungia ukanda mmoja anajua yanayo fanyika hko kwingine hayafanyiki kumbe mambo yarisha badilika muda mrefu na Kuna miji michanga imekuwa zaidi ya miji mikongwe
Hapa ni kata ya nshambya...barabara hii inaelekea shule za karume, istqaam, Nshambya municipal hospital na mitaa yote ya kyebitembe hadi RwamishenyeHapa kama Busekera
Hizo nyumba zimetapakaa Kila Kona mzee tembea uonetKijiji cha buganguzi wilayani muleba mkoa wa kagera...View attachment 2363967View attachment 2363968View attachment 2363969
Mnaishi vichakani kama waganga wa kienyeji 😁😁Kijiji cha buganguzi wilayani muleba mkoa wa kagera...View attachment 2363967View attachment 2363968View attachment 2363969
Picha moja matata Sana ya Mbeya,bila shaka unateseka ukiwa mahala👍👍.Viazi city aka parachichi town ..
Huu mji ni aibu hata kupeleka watu wa mataifa mengine na kuwambia ni jiji a
Anyway Moro is a best town than MBEYA View attachment 2364564
UoniPicha moja matata Sana ya Mbeya,bila shaka unateseka ukiwa mahala👍👍.
Aibu iko wapi hapo?
Na hiyo ni cbd? Cbd utazani upo sijui sehemu city centre is unplanned, majumba ya kizamani tena ya tope yamerundikana katitati ya mji, hakuna barabara za kuingia na kutoka mitaani, walkside zote ni vumbi je huko kwenye makazi ya watu patakuaje? Serikali majiji kama haya yanatakiwa kuwa sehemu ya mashamba kwa ajili ya kulisha watanzania si kila sehemu zinastahili kuwa majiji.
Haaaa kwa hiyo umechagua panapokufurahisha tuu si ndio?