Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Unajua kabisa Tanganyika na Victoria wap kuna meli nyingi, ata ivo biashara kubwa ipo lake Victoria.Imagination kivipi?
Unajua kabisa Tanganyika na Victoria wap kuna meli nyingi, ata ivo biashara kubwa ipo lake Victoria.Imagination kivipi?
Nimekwambia huku kulikuwa na meli moja sasa tunapoenda kupata meli 3 ita boost uchumi zaidi,nyie huko kwenu uchumi wenu uko ziwani ila sie huku hii ni addition tuu.Unajua kabisa Tanganyika na Victoria wap kuna meli nyingi, ata ivo biashara kubwa ipo lake Victoria.
😳😳Imagination kivipi?
Unajua kabisa Tanganyika na Victoria wap kuna meli nyingi, ata ivo biashara kubwa ipo lake Victoria.
Kwa hyo bus la kwenda south limekuwa lenu tenaBarabara zenyewe hakuna..Soon mnaanza kuja Mbeya kushangaa 4 lane superhighway..
Nyanda za Juu Kusini kuna barabara za viwango ndio maana unaona kuna ngoma kali kama hizi,huwezi Kuta huko utopoloni Kanda ya Ziwa![]()
Wakati nyie mko mbioni kuanza ujenzi .. wenzenu tushafika kitambo.Meli mpya 3 za mizigo na abiria ndani Ziwa Tanganyika mbioni kujengwa..![]()



Huwezi pata location safi kama hzi huko kusiniNew plaza in Bukoba....
Kibira plaza Rwamishenye street Bukoba...View attachment 2330557View attachment 2330558View attachment 2330559View attachment 2330560View attachment 2330561View attachment 2330562
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app



Aibu gani hapo? Una shida mahalaAibu tupu![]()
Kumbe mbeya Kwa bukoba haitoboi ..na lile vumbi sasaKibeta hills Bukoba...one of the wealthiest hills in Bukoba View attachment 2330576
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app



Beach kama hiz .huko upangwani watazisikia tuOne of the beautiful beachea found in bkView attachment 2330578View attachment 2330579
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app



Airport gan hyo ya kutupostia humuAibu gani hapo? Una shida mahala
Hiyo ndio iliyopo ambayo inajengwa upya au hujasoma unakurupuka tuu.Airport gan hyo ya kutupostia humu
🥶🥶🥶Aibu gani hapo? Una shida mahala
Hata nikisoma..maandishi bila utekelezaji ni sawa na kudeki bahariHiyo ndio iliyopo ambayo inajengwa upya au hujasoma unakurupuka tuu.
😳😳😳Hata nikisoma..maandishi bila utekelezaji ni sawa na kudeki bahari
Mambo ni yente