The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ile ni hospital binafsi wewe kenge sio ya serikali..Mtu anauetumia bando Kwa msaada wa vpn ..ana matatizo yake
Huoni project safi kama hzi.utalinganjsha na makopo yako hapoView attachment 2360448View attachment 2360449
K's Hospital Mbeya π
Ile ni hospital binafsi wewe kenge sio ya serikali..
Hata kwa level za serikali huwezi pata wodi kali kama hii hapa huko Mwanza
Ile Wodi ya Sekou Toure ilikuwa imezungukwa ni nini? Apartments zenu zile za Mawe au? ππππ..hospital imezungukwa na uchafu wa vijumba hata miti hamna na ni hospital ya rufaa
Hospital zinapaswa kuwa hviView attachment 2360461View attachment 2360463
Sunk cost Fallacy huwa unajihangaisha tu! Yaani mbeya yako hata mtoto mdogo anakukatalia haina hadhi ya Mwanza hata nusu! Kwa watu wa Mbeya pia hawawezi kuifikia hardworking ya watu wa kanda ya ziwa!
Hizi ni Hsp au dispensaries π€£π€£Nimewahi kusema.mara nyingi na narudia kwamba Mbeya ina hospital nyingi kuliko Mwanza..
Uwata hospital Ivumwe ππ
As usual kituo cha AfyaIle Wodi ya Sekou Toure ilikuwa imezungukwa ni nini? Apartments zenu zile za Mawe au? ππππ..
Aga Khan Mbeya π
Ni Dispensary..Hizi ni Hsp au dispensaries π€£π€£
Hapo kuna nyumba ya maana sasa! Yote majumba kama mavichuguu!
Mbeya inaizidi Mwanza almost kwa kila kitu kuanzia huduma za jamii kama Elimu hadi Afya kwa maana ya Hospitals..Mwanza size yake ni Mbeya maana huko kwingine mnatia aibu..Sunk cost Fallacy huwa unajihangaisha tu! Yaani mbeya yako hata mtoto mdogo anakukatalia haina hadhi ya Mwanza hata nusu! Kwa watu wa Mbeya pia hawawezi kuifikia hardworking ya watu wa kanda ya ziwa!
Location pia ya mwanza ni potential kwa investment kuja kuliko huko Mbeya!
Yaani Mbeya hadi sasa stend ni kama ya daladala hapo mwanjelwa ni maduka ya kawaida tu na soko mzunguko wake mdogo!
Ukielekea barabara ya kwenda Mbalizi-tunduma majumba takribani yote ni tope hakuna mpangilia wala ujenzi wa kuvutia kama vituo vya mafuta na kadharika!
Kwa ujumla huyu bwana anachuki tu na mwanza na kwa taarifa yake huku kanda ya ziwa kila kijiji na miji watu wanajenga sana!
Kama kipindi cha nyuma hususani wasukuma walikiwa hawajengi nyumba bado hamkuwapita kwa lolote je kwa sasa mtaweza?
Usiumize roho bwana Sunk mwanza haizuiriki kutokana na watu wake kutotegemea Mbeleko ya serkali hata siku moja!
Tunduma ipo Moto sanaNje ya mada kidogo,naomba nikuulize,kati ya tunduma na mafinga ni mji gani mkubwa kwa eneo,wingi wa watu na upi una fursa nyingi kiuchumi?
Kajengo kale kale unageuza geuza picha ππ
Nataka nikuongezee utofauti mwingine Ni mafinga asilimia kubwa pale wanategemea misitu ndo maana viwanda vya product za misitu vipo vingi Sana na vimefunguliwa na wachina Hali hiyo Ni sawa na iliyopo Kwa Sasa mji mdogo wa mtwango ambao Kuna baadhi ya wawekezaji wametoka mafinga na kuhamia mji mdogo huu maana una fursa sawa na mafinga unapatikana barabara ya makambako to njombe kutoka makambako Ni km 24 ingawa kimakazi nyumba zimeungana Ni sehemu ambayo Kwa Sasa inaibuka Sana Kwa viwanda vya bidhaa za misitu na ndio imepelekea njombe DC mapato ya ndani kukua zaidi ko Kama una unaenda hizo sehemu ujue mbao, nguzo,no ndo biashara zao kubwa tofauti na tunduma kule Ni mpakani biashara Ni mchanganyiko na population Ni kubwa tofauti na mafinga nimekupa tofauti hizi nimefanya biashara miji hii yote miwili na mzunguko wa pesa tunduma Ni mkubwa sanaNje ya mada kidogo,naomba nikuulize,kati ya tunduma na mafinga ni mji gani mkubwa kwa eneo,wingi wa watu na upi una fursa nyingi kiuchumi?
Acha uongo, Mbeya anazidiwa hadi na Iringa...Mbeya inaizidi Mwanza almost kwa kila kitu kuanzia huduma za jamii kama Elimu hadi Afya kwa maana ya Hospitals..Mwanza size yake ni Mbeya maana huko kwingine mnatia aibu..
Mbeya is third kwa GDP hapa Tanzania sasa sijui una nini kingine Cha kusema.
Anyway turudi kwenye mada,Hospitali ya Mkoa wa Mbeya
Mbona umeweka kweli mavumbi...Kusini kumetengwa kumejaa mavumbi..
Ujenzi wa barabara ya Ntendo/Sumbawanga-Kilyamatundu/Kamsamba ukiendelea.
Barabara Hii itaunganisha Mkoa wa Rukwa na Mikoa ya Songwe na Katavi kupitia Bonde la Ziwa Rukwa