Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
🤣🤣Hii kitu ni nzuri sana lakini leo nimefurahi sana kupata profile ya popoma mmoja anayejifanya mjanja kumbe zuzu tu, anaitwa deo kivevele a.k.a the sunk cost fallacy 😂😂😂😂👇👇👇
View attachment 2342369
🤣🤣Hii kitu ni nzuri sana lakini leo nimefurahi sana kupata profile ya popoma mmoja anayejifanya mjanja kumbe zuzu tu, anaitwa deo kivevele a.k.a the sunk cost fallacy 😂😂😂😂👇👇👇
View attachment 2342369
Mwanza inanipa raha sanaNo caption
Maendeleo ndio wimbo wa Kila siku huku
View attachment 2342529View attachment 2342530View attachment 2342531View attachment 2342533View attachment 2342534View attachment 2342536View attachment 2342538View attachment 2342540
Asaa icho kijiji anafananisha na KatoroTanzania tunasafari ndefu sana kama huu utopolo niwakujisifu mbona ni hatari😂😂😂😂
Weka picha za Katoro we kenge mweusi..Asaa icho kijiji anafananisha na Katoro
Utamiliki vipi account moja na jina moja wakati uko upande wa ukosoaji?Wajikuta kigogo 2014![]()
Hatuna muda wa kukujua ...mi sifanyagi personal attack..nitakupiga Kwa hoja na facts ..... disinformation must be preventedUtamiliki vipi account moja na jina moja wakati uko upande wa ukosoaji?
Kigogo mwenyewe unakuta server ziko maeneo tofauti tofauti na watu tofauti tofauti sasa utawajuaje?
Sasa jifanyeni mnanijua mje kujibia.
Uwanja wa sokoine una mkeka kwani? Vip taa kwa ajili ya mechi za usiku?Hata sokoine uko unakarabatiwa na derby ya Mbeya itachezwa Sokoine..
Asaa icho kijiji anafananisha na Katoro
Mkeka ndio nyasi bandia au? Acha lugha za kihuni..Uwanja wa sokoine una mkeka kwani? Vip taa kwa ajili ya mechi za usiku?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kibaranara chembamba na mapicha picha yenu ya kampeni 😬😬
Kukarabatiwa ndo kuwekewa nyasi bandiaMkeka ndio nyasi bandia au? Acha lugha za kihuni..
Nyasi bandia zinawekwa kasoro taa



Wivu ni kibaya sanaKibaranara chembamba na mapicha picha yenu ya kampeni![]()




Wivu tena? Kusini ndio kuna barabara na wewe unajua..Nitaona wivu mambo mengine sio barabara Mzee..Wivu ni kibaya sana![]()
Hizo lugha ni za kitaalamu huwezi elewa kitu..Kukarabatiwa ndo kuwekewa nyasi bandia![]()
Siku hizi sio lazima ufike sehemu picha na video zinaongea zenyewe.Sjawah fika njombe, kahama ndo nyumbn, real japo ni hom ila napapenda mno,