Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii ya wapi mbona Hatuoni huko mbele inakoenda?

Bila shaka litakuwa ni Geita Katoro humo utakuta mbuzi,michembe,Yale mashuka yanayonuka,mafimbo,madumu ya maziwa,ngozi za ng'ombe nk 😆😆
We si ulitaka basi la Katoro to Dar makasiriko ya nn🤣🤣
 
Ukipata jengo kama Hili Kanda ya Ziwa yote unitag..

Hospital ya Rufaa ya Mbeya,Idara ya mama na mtoto.. Modern and classic sio kama hayo mabweni mnajenga mnaita hospital 👇
Ukipata jengo kama Hili Kanda ya Ziwa yote unitag..

Hospital ya Rufaa ya Mbeya,Idara ya mama na mtoto.. Modern and classic sio kama hayo mabweni mnajenga mnaita hospital 👇
Kwani hili jengo si ni sawa na Mabweni ya shule ya Chato aliyojenga Mseven🤣🤣
 
Utajua mwenyewe ila Mwanza ni hovyo ndio maana inatuaibisha kuitwa second City kwa Tanzania..

Jiji la pili linazidiwa na Arusha na Dom? Hovyo kabisa huko.
Punguza chuki dhidi ya mwanza, basi fanya hivi Arusha na dodoma ni majiji ya pili hapa Tanzania, na mwanza ivuliwe hadhi ya jiji ibaki kuwa kijiji nadhani hapo utakuwa na amani.
 
Utajua mwenyewe ila Mwanza ni hovyo ndio maana inatuaibisha kuitwa second City kwa Tanzania..

Jiji la pili linazidiwa na Arusha na Dom? Hovyo kabisa huko.
Acha kujifariji Hiyo Dodoma zaidi ya izo Nyumba za gvt na Barabara zinazojengwa hakuna kitu, nimeishi Dodoma 2yrs. Mji una eneo la zaidi ya 2000km² 85% ni grassland hakuna makazi ya watu, nimekaa Miyuji maeneo mengi hayana watu
 
Punguza chuki dhidi ya mwanza, basi fanya hivi Arusha na dodoma ni majiji ya pili hapa Tanzania, na mwanza ivuliwe hadhi ya jiji ibaki kuwa kijiji nadhani hapo utakuwa na amani.
Hiyo investment ya Gvt isiwape kiwewe kama kweli wanajiamini ebu wapanue barabara ya Kenyatta na Nyerere, wajenge barabara ya Airport-kayenze vitu vingine wawaachie wenye Mwanza yao uone kama Dodoma na Arusha zitagusa pua
 
Attachments

  • Screenshot_20220828-101924.png
    Screenshot_20220828-101924.png
    241.3 KB · Views: 10
Tunaunganishwa hadi Harare na Classic kwa kuteleza na hizi ngoma hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220830-071757.png
    Screenshot_20220830-071757.png
    195.9 KB · Views: 9
  • 20220830_071804.jpg
    20220830_071804.jpg
    323.8 KB · Views: 14
  • 20220830_071809.jpg
    20220830_071809.jpg
    267.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom