The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Hakuna excuse yoyote sumbawanga ni kijiji kilichochangamkaNdio excuses mliyobakiwa nayo![]()
Hakuna excuse yoyote sumbawanga ni kijiji kilichochangamkaNdio excuses mliyobakiwa nayo![]()
Kituko 😝😝
Licha ya kukitahidi kuiga ila hamuwezi fikia Tunduma Hospital..👇Kama hujui maana ya OPD ..shauri yakView attachment 2345384
Shell ya mtu binafsi tajiri moja lenye hela zake hapa ....Tuliwaambia kwamba Kusini hamtuwezi..
NFS Tunduma![]()
Tajiri wa Njombe anamiliki hadi Kahama 💪💪
We jamaa akili huna ..NFS ni WA njombe Gani ..labda ya ndotoniTajiri wa Njombe anamiliki hadi Kahama![]()


Nimechanganya Uzi ..nilitakiwa niziweke kule kwenye post mshenzi yakoKwenye Petro station tushapiga tatu bila ..njoo kwenye majengo ya kibiashara
ISAKA ROAD ..View attachment 2345516View attachment 2345518
Sio kwamba wewe ndio huna hizo akili? Unajua hata kirefu cha NFS?We jamaa akili huna ..NFS ni WA njombe Gani ..labda ya ndotoni![]()
Ko unataka kusema ni njombe fuel station . pumbavu kweliSio kwamba wewe ndio huna hizo akili? Unajua hata kirefu cha NFS?
Tueleze wewe ni tajiri wa kutoka wapi huyo.


Jibu swali,unajua NFS ni nani? 😜😜Ko unataka kusema ni njombe fuel station . pumbavu kweli![]()
Jibu ni Moja NFS sio mmiliki WA njombe .Jibu swali,unajua NFS ni nani?![]()
Wa njombe huyo mzee unabisha Nini nfs Ina maana njombe filling station na karibu anafikisha shell 20 Tanzania na tank zake zimeandikwa karibu mkoa wa njombeWe jamaa akili huna ..NFS ni WA njombe Gani ..labda ya ndotoni![]()