instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,587
- 19,682
Usilinganishe kaitaba na viwanja vyenu vya ajabu ajabuMkeka ndio nyasi bandia au? Acha lugha za kihuni..
Nyasi bandia zinawekwa kasoro taa
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Usilinganishe kaitaba na viwanja vyenu vya ajabu ajabuMkeka ndio nyasi bandia au? Acha lugha za kihuni..
Nyasi bandia zinawekwa kasoro taa
Unatapa tapa Sana dingi 😄😄.Usilinganishe kaitaba na viwanja vyenu vya ajabu ajabu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na wameaibika kweli kweli 👇Jamaa kawachana
Hamna point hapoJamaa kawachana
Ukweli nyie mnalala Hadi saa tatu mnaongea viingereza wakati hata watoto wa nursery wanaongea kiingereza.Chapeni kaziHamna point hapo
Huyo hana point maana akikosaga cha kuongea huwa anaongea chochote hakuna asiemjuaUkweli nyie mnalala Hadi saa tatu mnaongea viingereza wakati hata watoto wa nursery wanaongea kiingereza.Chapeni kazi
Momba-DC& DED Office Construction 👇Katoro townView attachment 2344460
Haha ndo mnazinduka Leo huku yapo Hadi makete huko Tena makubwa zaidi ya hayoUwekezaji wa maduka .ya kisasa , geitA View attachment 2344453
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkiacha kupauka labda mtaisogelea bukobaResidential house construction in Swax town Kiboko ya Bukoba [emoji116]
Ndio excuses mliyobakiwa nayo 😜😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkiacha kupauka labda mtaisogelea bukoba View attachment 2345251