Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya moja 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220830-072312.png
    Screenshot_20220830-072312.png
    133.3 KB · Views: 11
  • 20220830_072251.jpg
    20220830_072251.jpg
    45.4 KB · Views: 11
Utajua mwenyewe ila Mwanza ni hovyo ndio maana inatuaibisha kuitwa second City kwa Tanzania..

Jiji la pili linazidiwa na Arusha na Dom? Hovyo kabisa huko.
We jamaa ,,hujisomi Kwa nani anayetoa second city Status ..zaidi ya vigezo na ubora wa mji ...kaa ukijua mwanza ni second city Kwa vigezo na sio siasa kama ilivyopew hadhi mbeya kuwa jiji wakati hata sifa haina
 
Hiyo investment ya Gvt isiwape kiwewe kama kweli wanajiamini ebu wapanue barabara ya Kenyatta na Nyerere, wajenge barabara ya Airport-kayenze vitu vingine wawaachie wenye Mwanza yao uone kama Dodoma na Arusha zitagusa pua
Usiwaze kabisa .. kuhusu barabara tayari feasibility ishakamilika ....kuanzia 2024 maji watayaita mma
 
No caption
Maendeleo ndio wimbo wa Kila siku huku
[emoji91][emoji91][emoji91]
20220901_210333.jpg
20220901_210358.jpg
20220901_210411.jpg
1662055807316.jpg
1662031113842.jpg
Screenshot_20220901-224714.jpg
Screenshot_20220901-142036.jpg
Screenshot_20220830-223647.jpg
 
Jamaa walisema wanaenda kuleta picha , mwezi umepita sasa hakuna cha kuonyesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe uwanja wa kaitaba Bukoba unakarabatiwa na hawasemi...

Wanaongeza majukwaa, taa, na marekebisho mengine makubwa...
Hiv nyanda za juu kusini kuna uwanja hata mmoja unaoweza kufikia level za kaitaba[emoji847][emoji23]

 
Kumbe uwanja wa kaitaba Bukoba unakarabatiwa na hawasemi...

Wanaongeza majukwaa, taa, na marekebisho mengine makubwa...
Hiv nyanda za juu kusini kuna uwanja hata mmoja unaoweza kufikia level za kaitaba[emoji847][emoji23]


Hata sokoine uko unakarabatiwa na derby ya Mbeya itachezwa Sokoine..
 
Njombe TC HQ 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-154338.png
    Screenshot_20220902-154338.png
    123.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220902-154353.png
    Screenshot_20220902-154353.png
    101.3 KB · Views: 12
Back
Top Bottom