The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Kwa mdomo huwa mko vizuri..Asaa hii nini sasa kaa kwa kutulia kesho ntakuletea
Leta hapa Basi la kutoka Dar to Katoro..
Dar to Ubaruku,Mbarali Mbeya 👇
Kwa mdomo huwa mko vizuri..Asaa hii nini sasa kaa kwa kutulia kesho ntakuletea
Nilimwahidi mwenzio kesho namwekea majengo ya Katoro na filling station znavotakiwa kuwaLeta jengo lenye gorofa 4 huko Kahama nitoke jukwaani sitaki porojo.
Wewe unajipitisha mbele ya Mwanaume mwezia ameahindwa..
Mdomoni inatandika ila kwenye namba sasa inigwa dole haaa 👎👎Eneo gani unazungumzia, Acha ushamba ilemela inatandika hicho kijiji cha wakulima
Ukileta nahama jukwaaNilimwahidi mwenzio kesho namwekea majengo ya Katoro na filling station znavotakiwa kuwa
Ukiona Daudi na Goliati wanawekwa kwenye mizania sawa basi ujue Goliati kisha chujuka. Njombe ni mkoa, Kahamani makao makuu ya mkoa wa Shinyanga wakati Mafinga ni makao makuu ya wilaya ya Mufindi. Kwa mantiki hii Mafinga unakua kwa kasi na huo ndiyo ukweli. Mji wa Iringa ulianzishwa mwaka 1892 na Wajerumani kama strategic point ya kutwangana na Wahehe. Mahala ulipo mji huu hauwezi kupanuka kwa sababu za kijiografia.a
Kahama sio makao makuu ya ShyUkiona Daudi na Goliati wanawekwa kwenye mizania sawa basi ujue Goliati kisha chujuka. Njombe ni mkoa, Kahamani makao makuu ya mkoa wa Shinyanga wakati Mafinga ni makao makuu ya wilaya ya Mufindi. Kwa mantiki hii Mafinga unakua kwa kasi na huo ndiyo ukweli. Mji wa Iringa ulianzishwa mwaka 1892 na Wajerumani kama strategic point ya kutwangana na Wahehe. Mahala ulipo mji huu hauwezi kupanuka kwa sababu za kijiografia.
Na viwanja vya Ilemela uko nje bei ni sawa na CBD ya MbeyaWivu tu ...kiboko ya mbeya ni hii.. soon tutaendelea kuona wambunge wenu wananunua viwanja mji Mpya huku ..na wewe unakaribishwa kununua japo huna hela hizo
View attachment 2336121
Wanakanusha kupoteza maboya ila ukweli wamenunuaHuu uzushi wa chadomo wahusika walikanusha..
Kwanza kuwa na Kiwanja kila sehemu siko issue.
Acha excuses br0 me nilisema CBD ya Mbeya ni sawa na BuzurugaHiyo video imeonyesha part of Old and New CBD.
Bado Sana sijaona meta,sijaona stand kuu Kule kwenye ghorofa la kwanza kuwa na lift Mbeya,sijaona kuanzia pale Kabwe all the way Hadi Nane nane maana hiyo njia yote ujenzi inaendelea Kwa Kasi..
On top of that sijaona kuanzia Tazara hadi Iwambi hayo yote ni maeneo yako busy Sana,sijaona Isyesye nk,Mbeya ni kubwa Sana wewe usijisumbue..
Jiandae kuhamaUkileta nahama jukwaa
Hapo kwenye uswazi wa Buzuruga kwako niletee jengo moja tuu kama hili hapa liko Kabwe gorofa 11 👇Acha excuses br0 me nilisema CBD ya Mbeya ni sawa na Buzuruga
Hakuna mnaishi Vijijini mnaita Miji..Jiandae kuhama
Kwahiyo umeamua kupost mpaka Mabus🤣🤣🤣🤣🤣Nilisema humu kwamba Route ya Dar Mbeya ina mabus mengi Sana na Orodha nikaweka,naendelea kuwatandika..
Another one, Green line 👇
Kwani mabasi yameanza kupostiwa Jana au leo?Kwahiyo umeamua kupost mpaka Mabus🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa mdomo huwa mko vizuri..
Leta hapa Basi la kutoka Dar to Katoro..
Dar to Ubaruku,Mbarali Mbeya 👇
Unaweza kuzoom ,,usogeze kabisa uone floor ngap.Leta jengo lenye gorofa 4 huko Kahama nitoke jukwaani sitaki porojo.
Wewe unajipitisha mbele ya Mwanaume mwezia ameahindwa..
Unaleta picha ya basi bila uthibitisho wa route 😆😆
Hii ya wapi mbona Hatuoni huko mbele inakoenda?
Route ya dar to katoro hiiKwa mdomo huwa mko vizuri..
Leta hapa Basi la kutoka Dar to Katoro..
Dar to Ubaruku,Mbarali Mbeya![]()
....uache uzuzu.