The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Madini ni Kanda ya ziwa bana hapo tusidanganyaneSie tunawakimbiza kila sekta kuanzia madini hadi kilimo.![]()
Madini ni Kanda ya ziwa bana hapo tusidanganyaneSie tunawakimbiza kila sekta kuanzia madini hadi kilimo.![]()
Kwa hiyo hicho nilichokuonyesha sio madini? Kanda ya Ziwa zaidi ya dhahabu kuna nini kingine? Labda nickel kule Kabanga ila huku Kusini kila aina ya madini Unapata..Madini ni Kanda ya ziwa bana hapo tusidanganyane
😀😀😀Lake zone ina meli nyingi sana hata biashara inayotokana na ziwa inafaida kubwa sana,
Hizi hadithi toka enzi za JK aanze kujenga hiyo Nssf imebakia story tuu..
Maji mtaita mmaaa,tunawakimbiza kila sekta 👇Lake zone ina meli nyingi sana hata biashara inayotokana na ziwa inafaida kubwa sana,
Tutaelewana tuu 👇
Wewe, Southern Highlands ndio Bustani ya Mungu ilipo👇Huwezi pata location safi kama hzi huko kusini![]()
Nonyeshe barabara za Vijijini kama hizi huko Kagera kwa maskini mnakoshindia ndizi nihame jukwaa 👇Sasa mnafanyia nini hizo pesa kama hamjengi kwenu vitu vinavyoonekana
Hebu Tazama Bukoba vijijini kwa juu...hebu Tazama makazi bora huko vijijini...endeleni kula maparachichiView attachment 2330563View attachment 2330564View attachment 2330565View attachment 2330566View attachment 2330567
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hapa watapita kimya kimya coz Wanaona aibu kwa umaskini walio nao 😁😁Kila mtu akitazame kwao
👍👍👍Tutaelewana tuu 👇
DiamondKwa hiyo hicho nilichokuonyesha sio madini? Kanda ya Ziwa zaidi ya dhahabu kuna nini kingine? Labda nickel kule Kabanga ila huku Kusini kila aina ya madini Unapata..
Hujaona humu Kwamba Kiwanda cha kusafisha copper kinajengwa Tunduru?
Asaa hii unafananisha na meli gani lake zone maybe vivuko vya BusisiTutaelewana tuu 👇
Imagine ndege zinazidiwa na sio mwisho wa mwaka na wala hakuna viongozi wanaoelekea Bukoba au Mwanza...
Hivi ni ushamba au nini mbona hayo majengo sijui hotel hiyo ni ya kawaida sana.Huwezi pata location safi kama hzi huko kusini![]()