Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Rwabizi plaza Bukoba..
images%20(24).jpg
images%20(28).jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787] hizo ni ahadi tu...


Meanwhile Bukoba airport...one of the busiest local air routes in TZ...

Air Tanzania inakuja mara mbili kwa siku...
Precious air mara mbili kwa siku...
Auric mara mbili kwa siku..


Wakati jiji la mbeya ndege sio kila siku mlivyokuwa maskini[emoji23].


View attachment 2330518View attachment 2330519View attachment 2330520View attachment 2330521View attachment 2330522

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ahadi wakati ujenzi unaanza mwezi wa Tisa na contractor tayari kapatikana..

Iringa Airport inajengwa,Songwe airport inafanyiwa renovation,Airstrip ya Ruaha inajengwa..

Tutaendelea kuwajambia kwenye uchumi hadi muone aibu.
 
Mkitajwa wa mwisho kwenye uchumi mnalalamika..

Kwetu Njombe tunafukuzia pesa tuu [emoji116]
Sasa mnafanyia nini hizo pesa kama hamjengi kwenu vitu vinavyoonekana


Hebu Tazama Bukoba vijijini kwa juu...hebu Tazama makazi bora huko vijijini...endeleni kula maparachichi[emoji23]
JamiiForums-1678131668.jpg
JamiiForums-170579828.jpg
JamiiForums1182822098.jpg
JamiiForums-1376906064.jpg
JamiiForums130645714.jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom