Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama inazidi kurusha mabomu mazito..huko kusini wa kutuzidi ni iringa tu...kwingine mnakalia

Miradi Kila Kona ....View attachment 2328492View attachment 2328493View attachment 2328494View attachment 2328495
P
IMG_20220819_110327_616.jpg
 
Tunazidi kufungua fursa via barabara.

Makete& Wanging'ombe gravel roads 👇
 
Attachments

  • 20220818_091659.jpg
    20220818_091659.jpg
    285.7 KB · Views: 13
  • 20220819_110512.jpg
    20220819_110512.jpg
    257.5 KB · Views: 11
  • 20220820_112640.jpg
    20220820_112640.jpg
    155.7 KB · Views: 11
Nyie ni WA mkiani tuu siku zote..

Njombe ni ya Viwanda na iko level zingine kabisa

Kahama na Njombe, Yes Kahama iko juu ya Njombe. Makambako na Katoro nimeona kama Katoro iko juu. Miji mingi midogo au ya size ya kati nchini Tanzania haipishani chochote cha maana kwa maana significant differences, mji mmoja unaweza kuwa na jambo ABC ukakosa CDE ambazo mji mwingie zipo. Kwa hiyo hiyo miji inafanana tu
 
👍👍👍
 
Kiwanda cha Gaki investment Co. Ltd, Shinyanga
 
Attachments

  • MITAMBO.JPG
    MITAMBO.JPG
    31 KB · Views: 10
Back
Top Bottom