instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Daaah..umenirejeshea kumbukumbu nzuri za zamani ndani ya mji wa bukoba.Kolping headquarters Bukoba View attachment 2330004View attachment 2330005View attachment 2330006View attachment 2330007
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
😎😎😎Daaah..umenirejeshea kumbukumbu nzuri za zamani ndani ya mji wa bukoba.
#MaendeleoHayanaChama
Lake Zone hakuna nyoka nyoka ni mikeka tu.Shy to simiyu ... inazidi kufunguliwa lami Kila upande .. ujenzi unaendelea View attachment 2329906View attachment 2329907
😳😳😳Moja ya misikiti mizuri na mikubwa Tanzania nzima...
Istiqaam Bukoba View attachment 2330167View attachment 2330168
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bukoba waislam wengine Njombe mjini sidhani kama wanafika mia tujenge msikiti mkubwa wa Nini?Moja ya misikiti mizuri na mikubwa Tanzania nzima...
Istiqaam Bukoba View attachment 2330167View attachment 2330168
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Barabara zenyewe hakuna..Soon mnaanza kuja Mbeya kushangaa 4 lane superhighway..Lake Zone hakuna nyoka nyoka ni mikeka tu.
Waislam kagera ni asilimia tano tu...tena wanaishi sehemu zilizokaliwa na waarabu tu...Bukoba waislam wengine Njombe mjini sidhani kama wanafika mia tujenge msikiti mkubwa wa Nini?
Sumbawanga airport is loading![]()

hizo ni ahadi tu...
.