The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
We ndezi amka toka usingizi utajikojolea kitqndani.😬😬Poverty.mwanzo mwisho View attachment 2324863
Huu ni mwaka 2022 wewe unaleta hadithi za 2013 kujifariji..
Saizi Makete kuna barabara za lami na baada ya Hiyo lami ya kutoka Njombe tumeongeza mapato ndani ya Miaka 2 iliyopita kutoka wastani wa 2.2bln Hadi kufikia 3.8 bln na tumekuwa wa 57 Nchi nzima kwa mapato.
Na ndio maana mwandishi akasema Wilaya Tajiri.Sasa barabara hiyo hiyo ikifunguka upande wa Mbeya tutakuwa tunacheza kwenye figures za 6bln huko..
The same to Ludewa,inatatizwa na barabara tuu ila Njombe hakuna Wilaya Maskini Hata Moja.👇
...uchafu mwanzo mwisho mji upo kama haupo





