The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Takwimu za machi ndio Takwimu za June 2021?Takwimu zinaongea kuliko porojo zakoView attachment 2316822
Mtazidi kuaibika 👇
Takwimu za machi ndio Takwimu za June 2021?Takwimu zinaongea kuliko porojo zakoView attachment 2316822
Sawa ila mambo iko hivi 👇pale Tume ya Madini kuna dealer mmoja kwa sasa, ukienda Chunya wachimbaji wengi ni wa kanda ya Ziwa...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ahahahaaaa uoni aibu kusema unamtegemea Biteko???? Fanya research yako kwanzaMapovu kamtolee Biteko mimi naleta taarifa tuu..
Mnapigwa za USO huku mnatoa macho 😁😁😁😁
😂😂😂😂 Naona unaweweseka,ulitaka nikutegemee wewe?Ahahahaaaa uoni aibu kusema unamtegemea Biteko???? Fanya research yako kwanza
Nimeweka Orodha ya kampuni 20 zinazofanya safari za Dar-Mbeya, kampuni ya Newforce mabasi 7 kwenda na Kurudi Mbeya kutoka Dar kila siku.Eti najmunisa kafa![]()
Amesema hiyo kauli akiwa wapi?😂😂😂😂 Naona unaweweseka,ulitaka nikutegemee wewe?
Kwa hiyo wewe na Biteko nani anasimamia sekta ya madini? 😁😁..
Mtajua hamjui👇
😂😂😂😂 Ingia You tube hapo tafuta Ziara ya Rais Chunya utasikia kaongea kila sehemu waliposimama..Amesema hiyo kauli akiwa wapi?
Unaishi na kauli za kisiasa na unajaa humo humo , hata angekuwa Singida angesema Singida ni ya pili nyuma ya Geita😂😂😂😂 Ingia You tube hapo tafuta Ziara ya Rais Chunya utasikia kaongea kila sehemu waliposimama..
Ningeiweka hapa sema ni kubwa Sina ujanja wa kuipunguza.
Unaweza kutoa taarifa ya Uongo mbele ya Rais?Unaishi na kauli za kisiasa na unajaa humo humo , hata angekuwa Singida angesema Singida ni ya pili nyuma ya Geita
Mmeishadanganywa mara ngapi mbele ya Raisi na hamkumbuki???? Rejea uzinduzi wa safari za SGR DAR/ MOROUnaweza kutoa taarifa ya Uongo mbele ya Rais?
Haya nipe Takwimu za June 2021 naona mnafarijiana na za machi.
Leta Takwimu za June 2021 acha blaa blaaMmeishadanganywa mara ngapi mbele ya Raisi na hamkumbuki???? Rejea uzinduzi wa safari za SGR DAR/ MORO
Kwa hiyo wewe takwimu zako ni Biteko sio???Leta Takwimu acha blaa blaa
NdioKwa hiyo wewe takwimu zako ni Biteko sio???
Usafiri wa ahueni ni ndege? Hiv we jamaa utakuwa na chawa mpaka lini? Kuwa na akili kidogo basi....Kwa hiyo hicho kijiji cha Bukoba kina biashara kuzidi Mbeya sio?..
Sababu ni ile ile mko kwenye makwapa ya Tanzania so usafiri wa ahueni ni ndege na sio mabasi mnayokaa njiani siku 2..
Mwanza ukitoka saa 12 unafika Dar saa 7 usiku sasa nani atataka kukaa masaa yote hayo?
Ntakuwa Chawa mpaka siku Mtakaposanda na kunionyesha mabasi mengi ya Mwanza-Dar maana nimeshakuwekea kampuni 21 hapo juu za Dar-MbyUsafiri wa ahueni ni ndege? Hiv we jamaa utakuwa na chawa mpaka lini? Kuwa na akili kidogo basi....
Hiv unajua nauli ya ndege dar tu bukoba?
Hebu nikusaidie labda
Nauli ni mara tatu ya nauli ya basi? Kama ni kuwahi watu bukoba wanawahi wap...
Mbona sio musoma, wala songea wala kigoma...
Ishu ni kwamba watu wenye asili ya bukoba ni middle income na high income kuliko huko kusiniView attachment 2316876View attachment 2316877View attachment 2316878View attachment 2316879
Mwanza to dar KAMPUNI 25Ntakuwa Chawa mpaka siku Mtakaposanda na kunionyesha mabasi mengi ya Mwanza-Dar maana nimeshakuwekea kampuni 21 hapo juu za Dar-Mby
Sasa wewe kwa akili yako Mbovu mtu wa middle class atachagua usafiri gani Kati ya kulipa 180,000 return ticket kwa bus akae njiani siku 2 na kulipa 370,000 return ticket kwa ndege afike kwa dakik?.
Kajamba nani ndio utalipa 180,000 ufike umevimba na kiuno kinauma miguu![]()