The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Kwa hiyo hicho kijiji cha Bukoba kina biashara kuzidi Mbeya sio? 😁😁😁😁..Na bukoba mara mbili kwa siku...just imagine kila siku kwa mji kama bukoba..
Na hapo kuna precision air na auric
Sababu ni ile ile mko kwenye makwapa ya Tanzania so usafiri wa ahueni ni ndege na sio mabasi mnayokaa njiani siku 2..
Mwanza ukitoka saa 12 unafika Dar saa 7 usiku sasa nani atataka kukaa masaa yote hayo?



