The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Njombe ndio wanatukumbuka upande huu 😛😛😛Bukoba airportView attachment 2295768
Hahahahahah..kumbe wanaliliaSijajua kwa sasa RC Homela kafikia wapi na kupata eneo la Ujenzi wa Campus mpya ya Udsm Mbeya hususani Shule ya Udaktari na Hospital ya Kufundishia![]()
,Serikali inafanya usanifu wa michoro ya stand mpya..
Tulianza kupata stand za maana kabla yenu ndio maana mnachachawa.![]()





unaletea maswali ya bungeni sisi...tuletee project on groundUnatuletea maswali..tukisema tupu hoja za wabunge wetu hapa thread si itachafukwa leta project proposal au ministrial plan au ground progressing za mradiUnajiaibisha.
Mbeya sio tuu kwamba ni strategic City bali Mkoa wa Mbeya ni mkoa wa Kiuchumi ulio namba 3 kuchangia Pato la Taifa na namba 2 kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa..
Kama huna bando sema nikupe Ili usikilize hii video kutoka Bungeni hapa chini![]()
Huna hojaUnatuletea maswali..tukisema tupu hoja za wabunge wetu hapa thread si itachafukwa leta project proposal au ministrial plan au ground progressing za mradi
Hujaona stand ya nane name? Ndio nakuletea maswali ya Bungeni na mpango si ulisema wewe kwamba hakutakaa kuwe na stand vipi tena? Michoro ndio hiyoo inawasilishwa Wizarani.,unaletea maswali ya bungeni sisi...tuletee project on ground
Kipo tayari kinatumia Majengo ya Hospital ya Rufaa Mbeya Kwa miaka 5 sasa..Hahahahahah..kumbe wanalilia
Siku Mbeya mkiwa night view kama hii ndo nitaanza kuona wivu,Kipo tayari kinatumia Majengo ya Hospital ya Rufaa Mbeya Kwa miaka 5 sasa..
Kinachosubiriwa ni eneo la Ujenzi rasmi,najua inakuuma ila vumilia hivyo hivyo,Ndio Mbeya hiyo mkuu.


Naona umepagawa wapi niliposema bukoba sio kanda ya ziwa mmiliki wa fresta ni mtu wa bukoba boss kwaiyo frester ni pride of bukoba.Bukoba si nyanda za kusini..af usinibishie mimi nipo kahama hapa ...hub ya fresters....we wa Wanging'ombe tulia dozi iingie
Pengine hujawahi hata kufika unauhakika mbeya haina vitu kama hivyo
Ndo ulete tuvionePengine hujawahi hata kufika unauhakika mbeya haina vitu kama hivyo
Hata ikiwa pride of bukoba ...Ila jua hyo pride of lake zoneNaona umepagawa wapi niliposema bukoba sio kanda ya ziwa mmiliki wa fresta ni mtu wa bukoba boss kwaiyo frester ni pride of bukoba.
Ulete na ya hivi piaNtaileta
Acha uongo, Frester ni Kahama, Phantom.Naona umepagawa wapi niliposema bukoba sio kanda ya ziwa mmiliki wa fresta ni mtu wa bukoba boss kwaiyo frester ni pride of bukoba.
Concrete jungleUlete na ya hivi piaView attachment 2297086
Ipo kama yote na thread hufungi..Ukiniletea mitaa kama hii Mbeya ...tunafunga thread...View attachment 2297018View attachment 2297019View attachment 2297021View attachment 2297022View attachment 2297024View attachment 2297026View attachment 2297027View attachment 2297028View attachment 2297030View attachment 2297031View attachment 2297032View attachment 2297034View attachment 2297036View attachment 2297037View attachment 2297039View attachment 2297040