The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ukweli usemwe tuu hata kama unapinga..wakati .. KAHAMA , tunamalizia fesability study ya stendi ya kisasa.nyegezi nayo ikimalizikia..musoma na bukoba wakianza process za ujenzi ...
.......hii ni moja ya stendi ya kisasa ya kanda ya ziwaView attachment 2295757View attachment 2295758
Haya majengo ya hiyo stand ni mabaya hayavutii..
Njombe na Mbeya hatutarajii kujenga mastand mabaya kama hiyo..
Ukiona stand za Iringa, Sumbawanga,Dodoma nk zinavutia.


