Kahama ni manispaa mingine ni miji hilo ni jibu toshaKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Dunia inahamia kwenye renewable energy unazungumzia coal.....coal sio long term reliable strategic mineral....Hii mali inaenda kutuletea SGR ya Southern Corridor![]()
Hyo ndoto.Soon Njombe inaipita Mwanza Kwa GDP.
Kazi iendelee![]()
😀😀😀😀😀 Kwa hili joto linaloendelea Ulaya, haya makaa ya mawe tutabaki nayo kama makumbushoHii mali inaenda kutuletea SGR ya Southern Corridor 👇
Pale ukishikwa vibaya unapoanza kujifariji 😂😂😀😀😀😀😀 Kwa hili joto linaloendelea Ulaya, haya makaa ya mawe tutabaki nayo kama makumbusho
Huna jipya ...mbeya unayoipost wenzio washapost kifupi Mbeya is nothing more ....ikashindane na Moshi
Pale sindano ikifika kwenye mfupa 😂😂..Huna jipya ...mbeya unayoipost wenzio washapost kifupi Mbeya is nothing more ....ikashindane na Moshi