Ebana uyo afande ☻
Frester ni pride ya bukoba boss si shinyanga mmiliki wake ni mtu wa bukoba.
Bukoba si nyanda za kusini..af usinibishie mimi nipo kahama hapa ...hub ya fresters....we wa Wanging'ombe tulia dozi iingieFrester ni pride ya bukoba boss si shinyanga mmiliki wake ni mtu wa bukoba.
Ngoja nikutulize na dozi ya Songea street Roads 👇Bukoba si nyanda za kusini..af usinibishie mimi nipo kahama hapa ...hub ya fresters....we wa Wanging'ombe tulia dozi iingie
😁😁 Town ya waendesha baiskeli na mikokoteniShy town mtaani.. baiskeli is our cultureView attachment 2295939
Uwekezaji wa taa za barabarani Mjini Sumbawanga 👇Uwekaji .taa za barabarani .. manispaa ya Shinyanga ...View attachment 2295842
Aibu yako 👇Mbeya mjenge nn...no such dream .. mtaendelea kupauka hapo nanenane.![]()
Unajiaibisha.Never ....Hamna kitu kama hicho . mbeya sio strategic city ...ko miradi kama hyo mtaisikia tu....bora useme Arusha
Wa kusini nawaongezea dozi nyingine ..kama ni wivu mlie kabisa...
mtasubiri sana kupata miradi kama hii huko nyanda za juu