Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Na ujanja na miundombinu ya kitalii..

Unadhani mtalii atakuja aanze kuongea kisukuma 😆😆
 
Rafiki yangu The Sunk Cost Fallacy sijajua shida ni elimu yako ama nini, au hujaelewa uzi unataka ufanye nini.
Sasa mambo ya Songea na Mbeya yanakujaje hapo kwenye uzi wetu?
Toa fact za Njombe sio unakimbilia kupost Mabasi ya Songea na barabara za Mbeya au ndio unaongezea nyama mji wako upate point za kutosha maana peke yake hauwezi
Hii ni battle ya Njombe vs Kahama automatically inakuwa Lake zone vs Southern Highlands..

Wewe ni mgeni na battle ya Uzi wa Dar vs Nairobi? Hujui umegeuka kuwa Kenya vs Tanzania?
 
Attachments

  • Screenshot_20220628-114750.png
    Screenshot_20220628-114750.png
    185.4 KB · Views: 14
Hizo umeweka hapa ni mali ya Mtanzania mmoja yupo Mwanza mjini
😁😁😬😬 Mtanzania gani huyo anaemiliki meli harafu Serikali inampa.pesa za matengenezo na uendeshaji?

MV Ruvuma ndani ya Lake Nyasa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-084224.png
    Screenshot_20220717-084224.png
    123.4 KB · Views: 15
Kusini kuna Mavumbi 🤣🤣🤣🤣..

Ni mwendo wa kutandaza lami tuu hadi Vijijini huko.

Hapa ni Mbeya Vijijini 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-143355.png
    Screenshot_20220716-143355.png
    181.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220715-205935.png
    Screenshot_20220715-205935.png
    191.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220715-210042.png
    Screenshot_20220715-210042.png
    162.2 KB · Views: 11
  • 20220715_210003.jpg
    20220715_210003.jpg
    101.4 KB · Views: 12
  • 20220715_205959.jpg
    20220715_205959.jpg
    174.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220715-210042.png
    Screenshot_20220715-210042.png
    162.2 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220715-210016.png
    Screenshot_20220715-210016.png
    173.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220715-205935.png
    Screenshot_20220715-205935.png
    191.9 KB · Views: 14
Mnaochangia huu Uzi kuanzia page ya 200 mmezingua Sana , wengine wanapost picha za mwanza , ukerewe , mbeya , tunduma , mara chunya , mmekrupuka Sana , huu Uzi ni wa njombe Vs Kahama , mleta mada naye kabadli ID anaanza naye kutembea na upepo ... Mnaharibu maudhui ya Uzi , hakuna picha yyte ya miji hii isiyokuwepo jamii forum , tangu 2012 watu wanabishana mfano Arusha Vs mwanza , Mwanza Vs Kisumu , Dar Vs Nairobi , Mbeya Kijiji kikubwa.... Picha za miji hyo yote zipo humu , hakuna picha utaleta location mpya , labda jengo jipya, Kwa sasa Uzi ni Kahama Vs njombe...... Sasa Uzi umeparamiwa na maharamia
 
Sawa Luhemeja wamekusikia 🏃🏃.

Umewahi changia Uzi wa Nairobo vs Dar?
 
Mnaochangia huu Uzi kuanzia page ya 200 mmezingua Sana , wengine wanapost picha za mwanza , ukerewe , mbeya , tunduma , mara chunya , mmekrupuka Sana , huu Uzi ni wa njombe Vs Kahama , mleta mada naye kabadli ID anaanza naye kutembea na upepo ... Mnaharibu maudhui ya Uzi , hakuna picha yyte ya miji hii isiyokuwepo jamii forum , tangu 2012 watu wanabishana mfano Arusha Vs mwanza , Mwanza Vs Kisumu , Dar Vs Nairobi , Mbeya Kijiji kikubwa.... Picha za miji hyo yote zipo humu , hakuna picha utaleta location mpya , labda jengo jipya, Kwa sasa Uzi ni Kahama Vs njombe...... Sasa Uzi umeparamiwa na maharamia
Hamna content iliyoharibika .. njombe pekee haitoshi kushinda hii battle inabidi isaidiwe ..
 
Hamna content iliyoharibika .. njombe pekee haitoshi kushinda hii battle inabidi isaidiwe ..
Wapi Kahama?

Barabara za Viwango zikiendelea kujengwa mkoani Njombe 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-084006.png
    Screenshot_20220717-084006.png
    154 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220717-083950.png
    Screenshot_20220717-083950.png
    151.5 KB · Views: 13
Amazing & The Mighty Mbeya hiyo,Kona ya Mkoa area all the way to Chunya 👇
 
Attachments

  • 20220701_105348.jpg
    20220701_105348.jpg
    33.9 KB · Views: 13
  • 20220701_105351.jpg
    20220701_105351.jpg
    55 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220717-083720.png
    Screenshot_20220717-083720.png
    166.7 KB · Views: 14
Unarudia picha
Narudia eeh..

Ufungaji wa taa za mitaani na barabani ukiendelea ndani ya Manispaa ya Sumbawanga 👇
 
Attachments

  • IMG_20220717_111933_481.jpg
    IMG_20220717_111933_481.jpg
    866.1 KB · Views: 14
  • IMG_20220717_111934_478.jpg
    IMG_20220717_111934_478.jpg
    510.7 KB · Views: 15
  • IMG_20220717_111945_994.jpg
    IMG_20220717_111945_994.jpg
    559.5 KB · Views: 16
  • IMG_20220717_112013_798.jpg
    IMG_20220717_112013_798.jpg
    995.2 KB · Views: 15
  • IMG_20220717_112015_046.jpg
    IMG_20220717_112015_046.jpg
    973.4 KB · Views: 13
  • IMG_20220717_112028_998.jpg
    IMG_20220717_112028_998.jpg
    796.3 KB · Views: 15
Njombe inafunguliwa kwa barabarani za lami kila direction 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-083850.png
    Screenshot_20220717-083850.png
    146.2 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220717-084006.png
    Screenshot_20220717-084006.png
    154 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220717-083950.png
    Screenshot_20220717-083950.png
    151.5 KB · Views: 19
Back
Top Bottom