Hahahahahah...ushaanza kulia lia ..bado hata hatujaanza kupiga panapotakiwa ...nakuonya usjelogwa kupost vipicha vya miji yenu sijui Mbeya...maana Mtakula za uso hadi hurumaMuanzilishi wa huu uzi Rekebisha tuweke battle ya zones iringa mafinga,njombe unawaonea.
Sio mimi ni jamaa yenu juu ndio alieomba uzi ubadilishwe huko juuHahahahahah...ushaanza kulia lia ..bado hata hatujaanza kupiga panapotakiwa ...nakuonya usjelogwa kupost vipicha vya miji yenu sijui Mbeya...maana Mtakula za uso hadi huruma
Huyu apa ndo ameombaRafiki yangu The Sunk Cost Fallacy sijajua shida ni elimu yako ama nini, au hujaelewa uzi unataka ufanye nini.
Sasa mambo ya Songea na Mbeya yanakujaje hapo kwenye uzi wetu?
Toa fact za Njombe sio unakimbilia kupost Mabasi ya Songea na barabara za Mbeya au ndio unaongezea nyama mji wako upate point za kutosha maana peke yake hauwezi
Tulia wewe ...umevamia pasipotakiwa...ligi yenu kanda ya kati huko lakini hizi kanda zingine weka mbali na watotoHuyu apa ndo ameomba
🙆🙆🙆Muanzilishi wa huu uzi Rekebisha tuweke battle ya zones iringa mafinga,njombe unawaonea.
Habari yako mtu mfupi mweusi tiiSongwe airport View attachment 2290277View attachment 2290278
Lake zone na Mwanza yote hakuna barabara ya mjini kali kama hii..
Hizi ni za mitaa... barabara kuu hatuna muda wa kupost maana ni kuwaonea tuLake zone na Mwanza yote hakuna barabara ya mjini kali kama hii..
Wakikuletea unitag![]()
Lake zone na Mwanza yote hakuna barabara ya mjini kali kama hii..
Wakikuletea unitag![]()



😆😆😆😆 Ona huyu kima wa Saanane,hizo sio barabara kuu ni barabara za mitaa..Hizi ni za mitaa... barabara kuu hatuna muda wa kupost maana ni kuwaonea tuView attachment 2293488View attachment 2293491View attachment 2293493View attachment 2293494
Naibu Waziri Ujenzi akifanya Utalii wa ndani Kitulo 👇