Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Hizo umeweka hapa ni mali ya Mtanzania mmoja yupo Mwanza mjiniMeli za Ziwa Tanganyika ,MV Mbeya,MV Ruvuma na MV Njombe👇
Hizo umeweka hapa ni mali ya Mtanzania mmoja yupo Mwanza mjiniMeli za Ziwa Tanganyika ,MV Mbeya,MV Ruvuma na MV Njombe👇
Meli za Serikali hazijawahi kuwa mali ya mtu binafsi.Hizo umeweka hapa ni mali ya Mtanzania mmoja yupo Mwanza mjini
Wacha vijengwe, tatizo ni abiria wakuvutumia hivyo viwanjaViwanja vya kisasa vya ndege vinazidi kujengwa na Serikali kwenye Mikoa potential ya Nyanda za Juu Kusini..
Iringa Airport Construction 👇
Kuna mtu binafsi Mwanza, yaani meli zote za serikali zilizopo huko ziwa Nyasa, yeye anazimiliki mara mbili au tatu zaidiMeli za Serikali hazijawahi kuwa mali ya mtu binafsi.
Kijana hiz ni school van???Umeshachanganyikiwa na viwanja..
Yaani unajiongelesha nikajua umeweka mabus ya Bukoba kumbe unaleta School Van![]()


Mkuu rukwa na katavi zipo wapi?Kwa hyo kigoma ,na rukwa ni nyanda za juu ,anyway vyovyote hata muiweke na Burundi ,



Mgesema Rukwa, Katavi ni kanda ya Magharibi.Mkuu rukwa na katavi zipo wapi?![]()
Mkiija huku ndo mtavuta pumzi ya moto twende.Barabara ya singida mwanza.. stendi za singida ,Nzega ,igunga, Manyoni , Dodoma hushuhudia convoy ya ajabu ya vyuma toka kanda ya ziwa ...
Hii ligi ya mabus lazima tukunyoosheView attachment 2289929
Nipeni uoto wa asili Katika mikoa yenu kama sio vumbi tu.