The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Njombe inashindanishwa na Mwanza 🤣🤣🤣🤣Leten road kama hz...kwanzaView attachment 2294618View attachment 2294619
Njombe inashindanishwa na Mwanza 🤣🤣🤣🤣Leten road kama hz...kwanzaView attachment 2294618View attachment 2294619
Kwenye ishu za barabara kaeni pembeni kiboko ya Mwanza ni Sumbawanga.👇
Usafiri wa mabasi na population huna?Eti Kahama inataka kupambana na Njombe kwenye mabasi,kapambaneni na Katoro..
Vyuma vya Njombe![]()
Tatizo sio population kubwa bali population yenye pesa..Usafiri wa mabasi na population huna?
Kahama ni mji unaopokea wahamiaji kila siku na ndio maana unashika nafasi ya 8 kwa mini yenye idadi kubwa ya watu Tanzania baada ya majiji makuu ya nchi hii. Hata annual growth rate ya Kahama ni kubwa kuliko ya Njombe.
Sasa hayo mabasi ya Njombe yanaizidi kivipi Kahama?
Dsm
Mwz
Arusha
Dodoma
Mbeya
Tanga
Zanzibar
Kahama
Frester the pride of Kahama.View attachment 2295010View attachment 2295012View attachment 2295013