Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nane nane bus stand
DSC04489.JPG
149549307_104076881722073_5676166468607366301_n.jpg
hqdefault.jpg
 
Rafiki yangu The Sunk Cost Fallacy sijajua shida ni elimu yako ama nini, au hujaelewa uzi unataka ufanye nini.
Sasa mambo ya Songea na Mbeya yanakujaje hapo kwenye uzi wetu?
Toa fact za Njombe sio unakimbilia kupost Mabasi ya Songea na barabara za Mbeya au ndio unaongezea nyama mji wako upate point za kutosha maana peke yake hauwezi
 
Abadili uzi twende kwa zones tu, Southern Highland Vs Lake zone
 
Back
Top Bottom