Iime Sha athiri machoSasa mbona unaleta picha za Kenya najua ulikochukua😊😊😊after all mada ni Njombe v Kanda ya Ziwa
Tulisha wambia mkoa wa njombe sio level zaoHaters wa kutoka Makao Makuu ya Umaskini Lake zone wakiona wawekezaji wanamiminika Njombe wanatamani Ardhi ipasuke waingie 😆😆..
Go Njombe go 👇
Southern Highlands tuko kila sekta,nyie ukitoa dhahabu hakuna madini mengine..Out of five ,4 ni kanda ya ziwaView attachment 2277664
Habari chungu kwenuLake zone wakiona hivi lazima wanune.
Mbeya
Vituo vya Biashara havitengenezwi na Serikali..Habari chungu kwenuView attachment 2281242
Mwanza iliishajitengeneza, zaidi wanarahisha kwa kutengeneza miundo mbinu ili kuweka mazingira ya biashara vizuri. Kuhusu Tabora ni inatengenezwa na ni suala la muda mfupi tu. Tabora inaiunganishwa kwa kasi kwa mitandao ya barabara na mikoa ya Magharibi na Nyanda za juu kusini.Vituo vya Biashara havitengenezwi na Serikali..
😄😄😄
Hii inahusiana vipi na njombe ,au njombe ndo Afrika yenyeweNchi za Africa tunashida ya kuwaza mambo ya karibu karibu,Bada ya kuwaza namna gani Africa tunaweza kutumia mwanya wa Urusi kuzalisha Gas,Ngano na nafaka,mafuta Ili tuilishe ulaya sisi tunawaza matumizi TU ya fedha tunazokopa.Kama vita ya Urusi ingekua Africa wazungu wange capitise lakini sisi tumebaki kutazama na mwakani tutabaki tunalialia vitu vinapanda Bei Kwa sababu ya vita vya Urusi na Ukraine.
Kwa picha hizi za lami hadi huko Vijijini Mufindi lazima uugue vidonda vya tumbo..Tandale flani hiv...
Yaan ni pabaya na hapavutii
Hizi chuma zinapatikana Mikoa ya Wastaarabu tuu ya Nyanda za Juu Kusini 👇
KAHAMA municipalBarabara za lami huko Vijijini Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa
Hospital imejengwa kwa mapato ya ndani ,sio kwenu mnasubiri ruzuku
Mimi naweka barabara wewe unaweka hospital..