Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Watuliee dawaa iwaingiee Mambo mazuri yanakujaa makambako ya Sasa kila sector kumekucha ni shidaaa
Hospital na manispaa ... hatubishani na halmashauri za miji ..ebu pandeni hadhi kwanza
images (57).jpg
images (59).jpg
 
Mwaache kabisa masihara na gold belt regions .Kahama hii ... uchumi unaendelea
images (55).jpg
 
View attachment 2273554
Hospitali ya rufaa ya mkoa iyooo swala la kuitwaa manispaa ni maswala ya mudaa tuuu soon tutaitwaa Mambo mazuri hayaitaji haraka ndo ka Lindi ni manispaa ilaa Hamna kitu kulee mjii umepoaa biashara hamna
Mkishaitwa manispaa ndo unitag tuje tubishane kwa sasa watafute kina mafinga,na manyoni ndo ubishane nao
IMG_20220626_205455.jpg
IMG_20220626_213856.jpg
 
Njombe to makambako hizo Ni baadhi ya daladala full abiria ndo maana tunavosema makambako njombe full project
FB_IMG_16563042874677622.jpg
FB_IMG_16563049165164630.jpg
 
Nikukumbushe mtu Njombe baraba za lami hazipo uzunguni kama ulivyosema Kuna Barabara inaenda Kambarage kule raia wa kawaida tu,Barabara kutoka NBC mgendela Hadi milima motel/KKT ni CBD,Barbara ya Posta Nako ni CBD,Barabara ya Chaugingi joshoni Hadi kiswele ni mitaa ya watu wa kawaida,pia bara ya Nazareth Centre nayo Kuna wakazi wa kawaida,huko ulikosema kwa wakinga nikukumbushe tu Barbara ya Njombe- makete ni lami,Barbara ya Njombe-Ludewa Zege inaendelea kujengwa na kilomita 50 almost done,sijataka kukuandikia Barbara unganishi CBD ambazo ni lami.Kahama ni manispaa iliyo na miundo mbinu ya Ovyo kuliko zote. Nazungumzia mitaa na vitongoji. Siongelei barabara kuu sijui Ludewa Makete etc.
Fact: Maendeleo ni finyu kulinganisha na uzalishaji.
Maji ya mgao halafu hayawi treated..
Mitaa barabara za vumbi makorongo, giza ( milingoti ya taa ipo lakini giza)

Kuna shida Njombe period.! Wenyeviti madiwani hili linawahusu..
Hizi porojo umeweka hapa labda wewe ndio mnufaika… nazungumzia mitaa next time soma mara tatu before huna respond..
Mchana Mwema
 
Back
Top Bottom