Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Tulia nikuonyeshe kuwa unavyopost ni takatakaTulia dose ikuingie
Tulia nikuonyeshe kuwa unavyopost ni takatakaTulia dose ikuingie
Hahahaha Yan we jamaa ukiingia kwenye huo ulingo utafeli mzee vigorofa vyenu vinahesabikaKAHAMA ,NSSF house .nipostie uwekezaji wa NSSF njombe ili ninye toka mwanza hadi darView attachment 2273435
NSSF kahama
Ebu leta vyenuHahahaha Yan we jamaa ukiingia kwenye huo ulingo utafeli mzee vigorofa vyenu vinahesabika
Tulia nikuonyeshe ,,,kuwa unachopost ni garbage... KAHAMA ni level nyingine kabisa ..tena utulie kabisaHahahaha Yan we jamaa ukiingia kwenye huo ulingo utafeli mzee vigorofa vyenu vinahesabika
KAHAMA drone view .. njombe inaingia mara mbili
Eti mall ...tulia wwMall hiyo inaendelea kupanda ndani njombe region
View attachment 2273480
Mitaa ya KAHAMA ,imechangamka ,,kumekaa kinjanja sanaView attachment 2273478View attachment 2273479
Hizo burudan zipo Kila Kona leta projectEti mall ...tulia ww
Burudani za kijanja....Alikiba jana alikuwa kahama...show kama hii njombe huwezi ipata
Mji ni vibe siku zoteView attachment 2273520View attachment 2273521View attachment 2273523
Mambo yashabadilika saiv lami za mitaani kila Kona zinapigwaa na maendeleoo Yana hatua zake mfano mjii wa makambako magegere lami za mitaani zimepigwaa za kutosha wakimalizaa ukoo wanaelekeaa kata ya kivavi ni swala la mipango tuuuNjombe kuna shida mahali.
Barabara za mitaa nyingi ni vumbi
Mji mzima vumbi.
Kuna upendeleo wa ujenzi wa barabara za mitaa (zinajengwa kule wafanyakazi wa halmashauri wanaishi)
Tanesco uzunguni barabara mbovu sana.
Halmashauri Njombe kuna mapungufu mengi. Waliohukumiwa sijui kama ni wao tu. Kama ni ubadhirifu sijui rushwa basi umefikia kiwango cha kutisha..
Mji hauna maji safi, maji ya mgao (inakuwaje?)
Mkoa una uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula lakini maendeleo hayafanani na uzalishaji.. Wakinga wanajenga magorofa Dar kwao hata barabara za shida..
Picha za mashamba ya chai parachichi miti etc ni nadhifu lakini maendeleo kwa wananchi zero..
Kahama wako vizuri. Bishara umeuboresha mji. Wakazi wanajielewa..
Mji msafi na watu wake wasafi.