Kahama VS Njombe/Mafinga

Songea MC roads 👇

images - 2022-04-26T160713.084.jpeg


images - 2022-04-26T160617.525.jpeg
 
Kwa hiyo barabara kuu hapa Tzn ni Tanzam pekee? Punguza kula viporo vya mchembe na mapanki..

Njombe iko barabara kuu ya Makambako-Songea-Mbamba Bay/Tunduru-Masasi-Mtrwara.

Kana kwamba haitoshi Njombe ni mzalishaji mkubwa wa Mazao ya miti sawa na Mafinga kwa hiyo malori na mabasi yako kama yote..

Mabasi yote yanayoanzia Songea kwenda Mikoa ya Kati,Kanda ya Ziwa,magharibi nk lazima yapite Njombe and vice versa ukiacha yanayoanzia Njombe penyewe.

Mfano Sumbawanga-Songea.

Tunduma-Mbinga/Mbamba bay.

Mbeya-Tunduru-Masasi.

Songea-Mwanza via Dom.

Songea -Arusha.

Njombe-Dom-Arusha.

Songea-Dodoma.

Songea-Dar via Iringa .

Mbeya -Mtwara via Songea-Masasi.nk nk

Nafaham yote hiyo, ni mdau wa Kusini ile kusini na Nyanda za juu kwanza kwa kuzaliwa kiasili lakini pia kwa kuishi na kuolea nyanda za huko, so naongea facts!
 
Leo narudi tena kivingine ndugu zangu Njombe inakimbia sana kwa mafinga na njombe mzunguko wa pesa upo halafu nawaibia siri Mbao ya njombe na mafinga kwa sasa inaenda sana Malawi, Zambia na Congo hivo nawasihi ndugu zangu wa kahama tusibishane sana kila mwaka fursa zinabadilika japo kahama inakimbia mno na nakiri kuna maendeleo lakini hawa jamaa kama wataenda hivi watakua na uchumi imara sana kuliko kawaida wanakilimo cha parachichi hiki kimewatoa mno, wana mbao ambayo wanaexport kwa sasa kuliko kawaida
 
Naomba tupambanie fursa na tuzichangamkie kama watanzania tuache ubishi nimepita pia chunya japo wana eneo dogo la uchimbaji nimekutana na vijana wa kisukuma na kinyakyusa akina lusajo na wenzao matusi yao kipesa sio madogo, wafanyabishara wa dhahabu chunya wanaoruka dubai na canada wanapesa utahisi wanatoa photocopy
 
Lakini pia kusini hasa Songea wanamakaa yao ya mawe naona wenyeji akina mdaka five na feo na wengine wameanza kubeba makaa wanamalori mengi wanapeleka nje hasa uganda hapo bado kampuni kibao zinachukua makaa kule kumefunguka kule tuache ubishi jamani
 
Back
Top Bottom