Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Vyuma vya Nyanda za Juu Kusini..New force & Golden Deer.

IMG_0239.jpg
 
Neema kwa Njombe na Nyanda za Juu Kusini zinazidi kufunguka, baada ya Soko la Ulaya,South Africa na China Sasa ni Ulaya👇

Screenshot_20220127-202216.png
 
Bajeti za Halmashauri zetu 2022/23
1. Ilemela billion 77
1643449376988.png

2. Kahama billion 47.5
 
Dogo nimeishi kote huko ila kahama iko vizuri sana
ila kama unataka kubishana mi sina muda wa kubishana
Huyo hata usihangaike naye..naona wasukuma wa kahama walimfirimba kimasihara hadi leo haamini...so alichobakiza ni ubishi ili ajifariji.

Mana hata uzi wenyewe wameunganisha wilaya zao mbili na bado zinapwaya..naomba waje waunganishe mikoa ya nyanda za juu kusini ndio aishindanishe na kahama.

Uzuri takwimu zinajieleza..wala hatuna ubishi kahama inasonga mbele kila uchwao.

Dogo amekalia kulialia tu..hana hoja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye makusanyo ya jumla ya halmashauri zote kuanzia Majiji/ Manispaa/ Miji/ Wilaya, Kahama ipo kwenye Top 10, wapi Njombe mji???😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Dogo nimeishi kote huko ila kahama iko vizuri sana
ila kama unataka kubishana mi sina muda wa kubishana.
Mkeo ndio dogo.Nani ambae hajaishi? Afu kama uliishi Njombe enzi hizo unajidanganya Rudi kaishi upya afu ulinganisho na huko uswahilini..
 
Huyo hata usihangaike naye..naona wasukuma wa kahama walimfirimba kimasihara hadi leo haamini...so alichobakiza ni ubishi ili ajifariji.

Mana hata uzi wenyewe wameunganisha wilaya zao mbili na bado zinapwaya..naomba waje waunganishe mikoa ya nyanda za juu kusini ndio aishindanishe na kahama.

Uzuri takwimu zinajieleza..wala hatuna ubishi kahama inasonga mbele kila uchwao.

Dogo amekalia kulialia tu..hana hoja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ni mjinga na unafilimbwa,wapi walipounganisha Halmashauri mbili?

Hapo kuna category za Halmashauri,na mimi nimeweka Mapato ya Njombe TC na imeandikwa Njombe TC bado huelewi.

2738144_JamiiForums764709745.jpg
 
Kwenye makusanyo ya jumla ya halmashauri zote kuanzia Majiji/ Manispaa/ Miji/ Wilaya, Kahama ipo kwenye Top 10, wapi Njombe mji???😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hujakosea ila difference ni mil.600 tuu 😝😝..

Tupo top 15.Kwa taarifa yako mwaka huu tunawapita kimapato kama unabisha tukutane mwezi wa 4 kwenye bajeti ya Tamisemi .

Yaani unashangilia kupitiwa mil.600 na Manispaa yenye wakaazi zaidi ya 300,000? Unashangilia wakati Ilemelea MC imezidi Njombe TC mil.300 tuu wakati Ina wakaazi zaidi ya 500,000?

NYie ni maskini wa mwisho aisee ni vile tuu unajifariji hapa.
 
Huyo hata usihangaike naye..naona wasukuma wa kahama walimfirimba kimasihara hadi leo haamini...so alichobakiza ni ubishi ili ajifariji.

Mana hata uzi wenyewe wameunganisha wilaya zao mbili na bado zinapwaya..naomba waje waunganishe mikoa ya nyanda za juu kusini ndio aishindanishe na kahama.

Uzuri takwimu zinajieleza..wala hatuna ubishi kahama inasonga mbele kila uchwao.

Dogo amekalia kulialia tu..hana hoja.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapuyanga Sana,Njombe DC no.24 hapo👇

Screenshot_20220129-142943.png
 
Attachments

Nchi ina Halmashauri 184, katika hizo 184 ikiwepo na Kahama ndio wanaongoza kwa kukusanya mapato. Wanjombe, Kahama washindani wake ni hao 1-9. Nyie pambaneni na akina Namtumbo hukoo
1643456511815.png
 
Back
Top Bottom