Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii exports imechangiwa pia na wapambanaji kutoka Njombe👇

Screenshot_20220102-155425.png
 
Wewe umesoma kichwa tu unatoka nduki eti wakinga wachawi.Basi wewe ni mchawi pia.
Yaan makabila yote zaidi ya 120.... Wakinga ndo wamechaguliwa topic...

Hata kama watakanusha lakin jamii ishaamini hivyo
 
Wao wamekatazwa kutumia uchawi? Ndo mushashindwa hivyo mnapiga maneno tuu yasiyo na maana
Sisi huko hatupo kwenye uchawi kabisaa....

Sisi tunaadvance kwenye elimu na maendeleo.

Wahaya wengi wanafungua makapuni ya ukoo ambayo yanakuwa na nyanja zote za elimu.

Mfano Koo maarufu zenye makampuni Yao..Kairuki,luganuza,Rugemalilas, Barongo,Rabininsia,abemulo,biotech na mushumbusis....
Mambo ya uchuuzi fanyeni nyie na uchawi wenu
 
Fanyeni mambo ya msingi....View attachment 2071643
Una matatizo kama sio kuchanganyikiwa ,kwamba dual carriage ya zaidi ya km 200 sio jambo la msingi?

Wivu mbaya sana utakuua mapema Sana we Mzee 😆😆.

Na Kwa taarifa yako hiyo barabara ikifika Mbeya Mjini itakengwa kuwa 6 lanes with pedestrian side walks.On top of that kuna Mbalizi-Iwambi bypass, Uyole-Mbalizi Bypass na pedestrian bridge
 
Sisi huko hatupo kwenye uchawi kabisaa....

Sisi tunaadvance kwenye elimu na maendeleo.

Wahaya wengi wanafungua makapuni ya ukoo ambayo yanakuwa na nyanja zote za elimu.

Mfano Koo maarufu zenye makampuni Yao..Kairuki,luganuza,Rugemalilas, Barongo,Rabininsia,abemulo,biotech na mushumbusis....
Mambo ya uchuuzi fanyeni nyie na uchawi wenu
Maendeleo gani mliyonayo,saizi mnapigwa na wajinga mnabakia kuleta excuses za kijinga.

200 (13).gif
 
Wazee wa kuchamba ziwani,ndio maana kansa haziwezi kuwaisha 😁😁.

Kagera na Lake zone Mbatia aibu Sana Tzn hapa 👇

2734285_2201178_IMG-20191102-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom