Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwamba kutoka Njombe
Screenshot_2021-11-16-11-50-26.jpeg
 
Millard Ayo bhuana kaweka ramani ya Tanzania, halafu kwa Iringa / Njombe kakoleza ka rangi flani hivi amazing
257950623_10159974774088792_7724902661783940073_n.jpg
 
Kesho Rais Samia aka Chief Hangaya kwa mara nyingine atakuwa ndani ya jiji la Mwanza. Makazi yake rasmi ni pale Dodoma, yeye hupendelea kutembelea majiji mawili tu makuu hapa nchini, yaani Mwanza na Dar. Ana allergy na vijijini ndo maana hapendelei kwenda huko, na ndo maana hadi sasa toka aingie madarakani hajakanyaga vijijini kule kusini ambako vinapatikana vijiji vya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, nk wakati huohuo keshaenda Dar na Mwanza mara nne na zaidi.
 
Watakuambia Hangaya ni Msukuma, vijana wa kusini wana maneno sana
 
Kesho Rais Samia aka Chief Hangaya kwa mara nyingine atakuwa ndani ya jiji la Mwanza. Makazi yake rasmi ni pale Dodoma, yeye hupendelea kutembelea majiji mawili tu makuu hapa nchini, yaani Mwanza na Dar. Ana allergy na vijijini ndo maana hapendelei kwenda huko, na ndo maana hadi sasa toka aingie madarakani hajakanyaga vijijini kule kusini ambako vinapatikana vijiji vya Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa, nk wakati huohuo keshaenda Dar na Mwanza mara nne na zaidi.
Anawinda kura za 2021 kwa wingi wenu na kwa kuwa huko mnafurahia ujio wake na sio analeta nini hata mimi ninvekuja Sana mnishangilie na kunipa kura.Pia Kanda ya ziwa inahitaji extra care maana hamjiwezi kabisa kimaendeleo😀😀😀
 
Ungejua Mwanza ndo jiji linalokuzwa na wananchi wenyewe serikali ilichangia kidogo sana
 
Anawinda kura za 2021 kwa wingi wenu na kwa kuwa huko mnafurahia ujio wake na sio analeta nini hata mimi ninvekuja Sana mnishangilie na kunipa kura.Pia Kanda ya ziwa inahitaji extra care maana hamjiwezi kabisa kimaendeleo
Ndiyoo, kura za mjini ni za kuwinda na lazima aziwinde kwelikweli, sio kama za huko vijijini kusini zinajileta zenyewe bila hata kuzitafuta Sasa kwa nini awawazie nyie huko wakati kura zipo za bwelele.

1.SGR imeanzia dar na Mwanza, kura zinasakwa.

2.madaraja mareeefu ni Mwanza na Dar, kura hizo.

3.Stand za kisasa Mwanza na Dar, kura zinatafutwa.

4. Yaani kila kitu cha maana ni dar na Mwanza tu.

Lakini vijijini kusini Saasa, mmetengwa lakini mnapiga kura za ndiyo bila hata kuzisaka, Deo sanga anasema huyu Rais kaletwa na Mungu mwenyewe
 
Kanda ya ziwa mnahitaji msaada,imagine hadi Leo Kanda ya ziwa wakiongozwa na wasukuma bado wanaamini utajiri unaletwa na kumuozesha binti.Wakati southern Highland tukisomesha na kutoa mitaji kwa akina Mama na mabinti jamaa bado wanasubiri binti aolewe ndio familia ipate nafuu.Imagine wanakomaa na mahali wako tayari binti asiolewe kisa mahali haitoshi.Jamii hii haiwezi kushindana southern highland
 
Mama ana allergy na sehemu za vumbi pia hapendi vijiji anapenda kutembelea mijini tu kama Dar, Mwanza na Dodoma.
 
Kanda ya ziwa mnahitaji msaada,imagine hadi Leo Kanda ya ziwa wakiongozwa na wasukumu bado wanaamini utajiri unaletwa na kumuozesha binti.Wakati southern Highland tukisomesha na kutoa mitaji kwa akina Mama na mabinti jamaa bado wanasubiri binti aolewe ndio familia ipate nafuu.Imagine wanakomaa na mahali wako tayari binti asiolewe kisa mahali haitoshi.Jamii hii haiwezi kushindana southern highland
Naona unarukaruka kama bisi kikaangoni! Kanda ya ziwa ni kanda ya kazikazi, hata marais waliotoka kanda ya ziwa walikuwa ni watu wa kazi, Mwalimu alihamasisha kilimo Cha kufa na kupona, kilimo ni uti wa mgongo na Magugufuli ilikuwa 'hapa kazi tu'.
Huku watu wanalima, wanafuga, wanavua samaki, wanachimba madini, nk sio kama huko kusini mnafanya ngono tu mkiongozwa na makete na ndo maana mnateketea kwa Ukimwi na Utapia mlo.
 
Back
Top Bottom