Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kamwe hawawezi kuwa, ndo maana kwa udumavu wenu mmebaki kuwa wajinga na masikini, duh! Kanda nzima mmedumaa Afya ya mwili na Afya ya akili!! Hapo ukiweka top 7 na mbeya inaingia, ila njombe ndo namba moja kwa udumavu nchini.
Utaendelea kuaibika mkuu 😄😄,Usicheze na watu wa Njombe(Wajinga)..Wahaya sijui wanafanya nini kwenye listi ikiwa kila Habari mbaya wapo,huo utajiri wao unatoka wapi ikiwa mkoa wao ni maskini was kutupwa?

Eti hao ndio wenye utapiamlo 😝😝,Wakinga hoyee 👇

Screenshot_20211018-115341.png
 
Nimekuuliza hapo juu kwa nini waliodumaa wanaongoza kuwa wafanyabiashara wakubwa Nchini hujajibu..Sasa ndugu kama kudumaa kumeniganya kuwa engineer bora niendelee kudumaa,huu ni udumavu wenye maana kumbe nisingekuwa nimedumaa ningekuwa kama Einstetein .

Meanwhile maskini wakubwa Hawa hapa

View attachment 1978411

View attachment 1978413
Masikini ambao wanakula vizuri, lishe Bora na hawadumai ni bora sana kuliko wale masikini wenye lishe duni, hawali wakashiba na wamedumaa akili na afya.
Kwa hiyo kule kwingine namba moja njombe, na huku kwingine namba moja Rukwa , yaani nyie mnashika namba moja tu
 
Utapoyea,Ukweli kamili huu hapa 👇

Screenshot_20211018-120105.png
 
Utaendelea kuaibika mkuu ,Usicheze na watu wa Njombe(Wajinga)..Wahaya sijui wanafanya nini kwenye listi ikiwa kila Habari mbaya wapo,huo utajiri wao unatoka wapi ikiwa mkoa wao ni maskini was kutupwa?

Eti hao ndio wenye utapiamlo ,Wakinga hoyee

View attachment 1978427
Unascreenshot tweet ya mhaya mmoja hivi afu unakuja nayo hapa kujifariji, serikali imesema njombe inaongoza nchini kwa udumavu wa akili na afya.
 
Barabara imejengwa na serikali hiyo ambayo nyie huko kwenu hamjawahi kuiongoza wakati sie huku tumeiongoza kwa miaka 30, tuliwaonea huruma tukawajengea hiyo.
Acha kukurupuka wewe,hapo nakufikishia ujumbe kwa njia ya picha,huu sasa ndio udumavu wenyewe yaani unashindwa kuchanganua hiyo barabara na alama ya barabara? 😄😝..

Ndio maana mlikuwa hamtumii akili badala yake mkawa mnafanya hivi 👇

2952362_Q0f.jpg
 
Kwetu hatuna shida ndogo ndogo kama zinazowakabili nyie,pili Kusini kila kitu ni uhakika kwa hiyo hakuna sababu za viongozi kuhangaika na Kusini,huko kwenu ni Kanda kama maji tuu ni mziki mnene sasa lini uliwahi ona hata kwenye TV Kusini maji yanasumbua?..

Serikali isipoleta tunachomba chini na kwenye moto yapo ya kutosha sasa sehemu kama hii utalinganisha vipi na huko semi arid? Zebaki na radio zitawamaliza nyie watu wa Lake zone.

Baada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
Kwa takwimu gan arusha inaizid mwanza 😀😀
Ukizipata nitag
 
Kwetu hatuna shida ndogo ndogo kama zinazowakabili nyie,pili Kusini kila kitu ni uhakika kwa hiyo hakuna sababu za viongozi kuhangaika na Kusini,huko kwenu ni Kanda kama maji tuu ni mziki mnene sasa lini uliwahi ona hata kwenye TV Kusini maji yanasumbua?..

Serikali isipoleta tunachomba chini na kwenye moto yapo ya kutosha sasa sehemu kama hii utalinganisha vipi na huko semi arid? Zebaki na radio zitawamaliza nyie watu wa Lake zone.

Baada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
Ok. Sikujua kama ni mwehu,sorry
 
Back
Top Bottom