Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Zilipendwa 😝😝😀😆..

Sio mimi ni Serikali,namba hazidangayi na picha zinaonesha uhalisia 👇

Screenshot_20211020-210303.png


Screenshot_20211018-114259.png


Screenshot_20211020-213806.png
 
Ndio maana yake,kwani Nigeria haiongozi kwa GDP? Si ina maskini wengi kuliko nchi yoyote Afrika?

Tzn iko top 5 ya nchi zenye maskini wengi Afrika sanjali na Nigeria,Ethiopia,DR Congo,Tzn na Madagascar..

Mikoa inayochangia Hawa maskini ni Lake zone yaani mikoa yote 6 ni maskini,nyie watu fanyeni Kazi acheni uvivu mnatutia aibu huko Duniani.
Uongooooo mtupu
Leta takwimu za nchi hizo kutoka source inayojulikana
Sio huu uwongo wako
 
Uongooooo mtupu
Leta takwimu za nchi hizo kutoka source inayojulikana
Sio huu uwongo wako
Wakati Nigeria ikiwa poverty capital of The World kwa Tzn hapa makao makuu ya Umaskini ni Lake Zone ndio mnatutia aibu Sana hapa Africa 😆😆..

Takwimu hizi hapa 👇

Screenshot_20211021-194757.png


Screenshot_20211021-194900.png
 
Huko kuna maji, umeme na wanakula vizuri wanashiba, na karibu yao tu hapo Kuna hospitali kuuubwa ya rufaa, tuje sasa kwa wale wadumavu, kuuona msosi tu mbinde, wamekondeana wee miili imedumaa kwa kukosa lishe View attachment 1982211
Tukikosa chakula nyie maskini mtakufa,food busket iko Kusini ndio maana hata taarifa hiyo hapo juu inasema mikoa yenye chakula kingi ,sasa wewe kenge unaongea ujinga kujifariji tuu..

Ufukara wenu na maisha ya kuishi kama nguruwe yanalitia hasara Nchi yetu ndio sababu ya kuzaa maalbino,,natamani tugawane maana tunaaibika wote wakati ni wapumbavu wa Lake zone ndio mafukara👇

Screenshot_20211020-161728.png


Screenshot_20211020-220406.png
 
Tukikosa chakula nyie maskini mtakufa,food busket iko Kusini ndio maana hata taarifa hiyo hapo juu inasema mikoa yenye chakula kingi ,sasa wewe kenge unaongea ujinga kujifariji tuu..

Ufukara wenu na maisha ya kuishi kama nguruwe yanalitia hasara Nchi yetu ndio sababu ya kuzaa maalbino,,natamani tugawane maana tunaaibika wote wakati ni wapumbavu wa Lake zone ndio mafukara

View attachment 1982241

View attachment 1982242
We nguchiro, taarifa inasema mikoa ya manamba yanayolima sana na kuuza chakula chote kwa bei chee cha mabwana zao kisha tupesa tunatopatika kutunywea ulanzi na kubaki na njaa kali kiasi cha kudumaa na kukondeana
Screenshot_2021-10-18-11-27-29-41.jpg
 
Back
Top Bottom