Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Takwimu nyingi tuu mojawapo ni mapato ya TRA na idadi ya viwanda.Kwa takwimu gan arusha inaizid mwanza 😀😀
Ukizipata nitag
Takwimu nyingi tuu mojawapo ni mapato ya TRA na idadi ya viwanda.Kwa takwimu gan arusha inaizid mwanza 😀😀
Ukizipata nitag
Naona Rukwa iliongoza hapo kwa miaka hiyo, kwa Sasa njombe ndo inaongoza namba 1, Njombe ni masikini, hawali wakashiba, wamedumaa akili na afya. Data za motomoto sio tu za mwaka huu bali ni za jana tu
Serikali vs mchimba viazi wa maketeTakwimu nyingi tuu mojawapo ni mapato ya TRA na idadi ya viwanda.


Mwanaume wa Southern Highlands,hiyo mikoa yote ni ya kwetu na Niko hapa kutetea Kanda Yangu..Achaga upimbi
Jinga mmoja ww
We unajikuta unajua kila kitu ?
Mwanaume gani unatapa tapa
Leo upo njombe,mara mbeya,songwe,lindi,ruvuma na sasa upo arusha
Hizo ni tabia za kimalaya
Badilika
Hivi ndivyo tunachimba viazi 👇
Hapa ni hivi
Sasa hiyo 87% ya njombe imeenda wap saiv😀😀😀 takwimu za vigazeti uchwara
Mwanaume wa Southern Highlands,hiyo mikoa yote ni ya kwetu na Niko hapa kutetea Kanda Yangu..
Arusha ni my favorite Regio,nitaweka makazi yangu ya kudumu Arusha..
Baada ya kusema hayo nasikitika kukuambia kwamba umaskini umezidi kukita mizizi huko Lake zone maana population growth rate ni kubwa kuliko GDP growth,yaani kiufupi mafanikio yenu ni kuongeza idadi ya Maskini 😄😄
Takwimu nyingi tuu mojawapo ni mapato ya TRA na idadi ya viwanda.
Tabora kaichapa Njombe yaani
Jamaa atakuja kusema tabora imeunganishwa na simiyu😀😀😀Tabora kaichapa Njombe yaani
View attachment 1979100
Taarifa bado ya moto hii kutoka NBS, yaani fedha za Mwanza ndio zinajenga shule za Njombe
Sijui huyu jamaa huwa ana akili gani yaan analeta tweet ya mtu mmoja aliyekula maharage na kuvimbiwa, kwani na mimi nikitweet kuwa wasukuma wanangoza kwa utajiri ndo itakuwa official?Unascreenshot tweet ya mhaya mmoja hivi afu unakuja nayo hapa kujifariji, serikali imesema njombe inaongoza nchini kwa udumavu wa akili na afya.
Ok. Sikujua kama ni mwehu,sorry
Amedumaa Akili na Afya, si unaona ndugu yake hapa chiniHuyu jamaa nilishamwona ana shida kidogo ya akili.
Matajiri wa SWAX eti?????Amedumaa Akili na Afya, si unaona ndugu yake hapa chiniView attachment 1979516



noma sana!Kama GDP ya Mwanza kwa sasa ni hiyo na bado miradi mikubwa ya kuinua uchumi wa Mwanza bado haijakamilika kama vile, daraja la kigongo busisi, sgr, bandari ya nchi kavu fella, ujenzi wa meli wa mv Mwanza hapa kazi tu, ujenzi wa jengo la abiria la Mwanza airport, gold refinery, ujenzi wa soko kuu Mwanza, ujenzi wa stendi kubwa ya Nyamhongolo pale Ilemela, ujenzi wa stendi ya Nyegezi na hotel ya nyota tano pale capripoint je hivi vikikamilika Mwanza itakuwa wapi??
Kuna mgodi mpya wa dhahabu Sengerema, haujaanza uzalishaji. Yaaani hiyo Trillion 17 ya Dar tunaisawazisha ndani ya miaka mitano ijayoKama GDP ya Mwanza kwa sasa ni hiyo na bado miradi mikubwa ya kuinua uchumi wa Mwanza bado haijakamilika kama vile, daraja la kigongo busisi, sgr, bandari ya nchi kavu fella, ujenzi wa meli wa mv Mwanza hapa kazi tu, ujenzi wa jengo la abiria la Mwanza airport, gold refinery, ujenzi wa soko kuu Mwanza, ujenzi wa stendi kubwa ya Nyamhongolo pale Ilemela, ujenzi wa stendi ya Nyegezi na hotel ya nyota tano pale capripoint je hivi vikikamilika Mwanza itakuwa wapi??