Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Serikali imesema mikoa yote ya Nyanda za juu kusini ina utapiamlo, na njombe ndo kinala, yaani njombe inaizidi hadi rukwa kwa kukosa hata ile pesa ya kula.View attachment 1980932
Hukusikia vizuri, serikali imeitaja mikoa maskini kama unavyoona hapo kwenye red,Mwanza ni miongoni mwa maskini hao 😂😂..

Vaa miwani kama huoni ,habari inayo trend ni Mwanza kuwa maskini👇

Screenshot_20211020-160654.png


Screenshot_20211020-160937.png
 
Na tajiri hana utapiamlo, wenye utapiamlo huwa ni masikini tu, Utapiamlo=Umasikini, jikiteni kwanza katika kutafuta pesa ya kula kwanza, sie wenzenu tushatoka huko.
Matajiri Hawa hapa except wazee wa sound wahaya 👇

Screenshot_20211018-115341.png
 
utapiamlo ni kitu kibaya sana, wewe huyohuyu unasema kagera ni masikini afu wewe huyohuyo unasema wahaya ndo wanaongoza kwa utajiri Tanzania ,
Umasikini na utapiamlo ni kama Pete na kidole.
Kwani umeona ni mimi nimesema au ni Serikali? Umemuona Opportunity cost ndio ka compile report hapo? 🤣🤣😂😂

Acha kutapatapa nenda kamuulize Mpango ,povu sitaki.Wahaya sio lazima wakae kwao,waliosoma wamekimbia kwao kwa sababu kuna Nuka umaskini not liveable.

Umaskini ni mbaya sana unaharibu hadi akili,Mpango anasema mikoa ya Lake zone ni maskini wa kutupwa, anasema watu wanaishi Kama nguruwe huko Biharamulo 😁😁.

Ukiona mkoa wowote wa Southern Highlands hapa nitag 👇

Screenshot_20211020-161728.png


Screenshot_20211020-161828.png
 
Kwani umeona ni mimi nimesema au ni Serikali? Umemuona Opportunity cost ndio ka compile report hapo?

Acha kutapatapa nenda kamuulize Mpango ,povu sitaki.Wahaya sio lazima wakae kwao,waliosoma wamekimbia kwao kwa sababu kuna Nuka umaskini not liveable.

Umaskini ni mbaya sana unaharibu hadi akili,Mpango anasema mikoa ya Lake zone ni maskini wa kutupwa, anasema watu wanaishi Kama nguruwe huko Biharamulo .

Ukiona mkoa wowote wa Southern Highlands hapa nitag

View attachment 1981028

View attachment 1981029
Hakuna waziri anaitwa Mpango wewe masikini mwenye utapiamlo, ila Kuna waziri anaitwa Adolf Mkenda na kasema maneno haya ya motomoto kabisa
Screenshot_2021-10-18-11-27-29-41.jpg
 
Hakuna waziri anaitwa Mpango wewe masikini mwenye utapiamlo, ila Kuna waziri anaitwa Adolf Mkenda na kasema maneno haya ya motomoto kabisaView attachment 1981044
Basi Waziri ni wewe,ni hivi hayo yote hayatabadili ukweli kwamba Kanda ya Ziwa ni maskini nanaishi kama nguruwe 😃😀😄😄..

Povu pekea Mpango ndio alisema hivi 👇

Screenshot_20211020-161728.png


Screenshot_20211020-160654.png
 
Basi Waziri ni wewe,ni hivi hayo yote hayatabadili ukweli kwamba Kanda ya Ziwa ni maskini nanaishi kama nguruwe ..

Povu pekea Mpango ndio alisema hivi

View attachment 1981047

View attachment 1981049
Udaku wa 2016 kutoka Bongo 5 tupa kule, ya motomoto hii hapa ya masikini ambao wameshindwa hata kujipatia chakula Cha kutosha wamekondeana na kudumaa. Kanjombe ndo kakinara, yaani zaidi ya nusu ya wakazi wake ni masikini hawawezi kujikimu hata msosi, Yaani wanakula kwa kuungaunga mlo mmoja kwa siku.
Screenshot_2021-10-18-11-27-29-41.jpg
 
Udaku wa 2016 kutoka Bongo 5 tupa kule, ya motomoto hii hapa ya masikini ambao wameshindwa hata kujipatia chakula Cha kutosha wamekondeana na kudumaa. Kanjombe ndo kakinara, yaani zaidi ya nusu ya wakazi wake ni masikini hawawezi kujikimu hata msosi, Yaani wanakula kwa kuungaunga mlo mmoja kwa siku.View attachment 1981059
Mwambie alete current data sio kila siku analeta mizoga ya magazeti ya miaka kumi iliyopita huyo fala huwa hana hoja zaidi ya viroja yeye hana cha kuandika au kupost zaidi ya hiyo report ya uzushi ya magazeti na mapicha ya miti ya miparachichi.
 
Udaku wa 2016 kutoka Bongo 5 tupa kule, ya motomoto hii hapa ya masikini ambao wameshindwa hata kujipatia chakula Cha kutosha wamekondeana na kudumaa. Kanjombe ndo kakinara, yaani zaidi ya nusu ya wakazi wake ni masikini hawawezi kujikimu hata msosi, Yaani wanakula kwa kuungaunga mlo mmoja kwa siku.View attachment 1981059
😀😀😁😁💉💉 Kamwambie Dr Mpango akanushe huu udaku..

Kinachojulikana ni kwamba Lake zone yote kumejaa maskini mnaishi kama nguruwe..povu usiniletee mimi kampelekee Dr Mpango 👇

Screenshot_20211020-161728.png


Screenshot_20211020-160654.png


Screenshot_20211020-160937.png


Screenshot_20211020-161828.png
 
Miji iliyojaa maskini inaongoza kwa GDP eti???

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ndio maana yake,kwani Nigeria haiongozi kwa GDP? Si ina maskini wengi kuliko nchi yoyote Afrika?

Tzn iko top 5 ya nchi zenye maskini wengi Afrika sanjali na Nigeria,Ethiopia,DR Congo,Tzn na Madagascar..

Mikoa inayochangia Hawa maskini ni Lake zone yaani mikoa yote 6 ni maskini,nyie watu fanyeni Kazi acheni uvivu mnatutia aibu huko Duniani.
 
Mwambie alete current data sio kila siku analeta mizoga ya magazeti ya miaka kumi iliyopita huyo fala huwa hana hoja zaidi ya viroja yeye hana cha kuandika au kupost zaidi ya hiyo report ya uzushi ya magazeti na mapicha ya miti ya miparachichi.
Atatoa wapi huyo nguruwe, anayo hii hapa tu ila hawezi kupost
Screenshot_2021-10-18-11-13-14-73.jpg
 
Back
Top Bottom