Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mikoa ya kusini kabla ya kupambana na mikoa ya kanda ya ziwa pambaneni kwanza na viribatumbo, kwashiokor pamoja na udumavu wa kimwili mkimaliza hayoa njooni tuendelee na mpambano wa kiuchumi.
Nilisema unipe Takwimu za GDP za Simiyu hadi leo hujaleta,tuko vizuri sana kwenye pesa hizo zingine ni porojo, tunafanya vizuri kwenye elimu na uchumi sasa hata wewe unalijua hili ila unajitoa ufahamu..

Kusini kungekuwa sawa na hizo Takwimu zenu uchwara Mbeya isingekuwa na vyuo vikuu vingi kuzidi Mwanza,Mbeya isingewazidi Mwanza mapato 🤣🤣
 
Onyesha aliposema maana naona wewe ndio unajisemesha
Sio Mwaka huu tu, bali miaka yote huko mnaongoza kwa udumavu wa afya, akili, Uchumi, nk
Screenshot_2021-10-18-11-01-31-23.jpg
Screenshot_2021-10-18-11-02-15-79.jpg
 
Sometimes huwa hueleweki,GDP figures ziko humu na ndicho hicho kilichoelezwa na msemaji mkuu wa Serikali..

Hata huyo msemaji wa serikali kazingua,huwezi sema eti Mkoa wa Mwanza unachangia mapato kwa 7% bali unachangia uchumi kwa 7% na sio mapato,huu ni upotoshaji.

Alichosema ni kipo hapo kwa mujibu wa NBS ko hiyo hakuna jipya,sasa hayo ni mapato?

View attachment 1977753

View attachment 1977754
Soma hiyoo,
Screenshot_2021-10-18-11-13-14-73.jpg
 
Onyesha aliposema maana naona wewe ndio unajisemesha
Njombe inaongoza kwa udumavu Tanzania, Nyanda za juu kusini ukitoa mbeya tu mikoa yote iliyobaki Ni Afya mgogoro. Wakati kanda ya ziwa hakuna hata mkoa mmoja Afya mgogoro
 
Njombe inaongoza kwa udumavu Tanzania, Nyanda za juu kusini ukitoa mbeya tu mikoa yote iliyobaki Ni Afya mgogoro. Wakati kanda ya ziwa hakuna hata mkoa mmoja Afya mgogoro
Wapi panapoonesha ikiongoza? Nachojua Mwanza na lake zone inaongoza kwa umaskini
 
Nimekuchunguza nikaona akili zako huwa hazipo sawa.
Uko sahihi siwezi kuwa na akili sawa na wewe ndio maana kwa ujinga wako unaamini upuuzi,sisi kutoka Njombe ni wafanyabiashara wakubwa nchi hii,sasa kilaza aliyedumaa anaweza kuwa mfanyabiashara mkubwa?
 
Tech gani iliyoingia Tz kuputia Arusha?, labda huwa zinatoka Arusha zinaenda mikoa ya kusini.
Nyingi Sana,Tzn hii kwa mfano wazalishaji wakuu wa mbegu za kilimo na madawa ya mifugo/ kilimo viwanda viko Arusha..

Agribusiness inatoka Kenya Arusha then inasambaa Tzn ikiwemo kuja huko kwenye kijiji chenu kikubwa cha Mwanza
 
Njombe 53.6%, afu ukitoa kigoma Top six yote ni mikoa ya Nyanda za kusini, Siku zote masikini wana lishe duni View attachment 1978370
Jibu swali langu waliodumaa akili wanaweza kuwa ndio wafanyabiashara wakubwa Tzn? Waliodumaa akili ndio wanaweza kuwa wasomi Tzn?

Hizo ni taarifa na Takwimu uchwara na haziwezi kuwasaidia kuondokana na umaskini uliotopea Kanda ya Ziwa.
 
Kwa akili yako ya kisoda unaona hii taarifa iko sawa?
tushaelezwa na serikali kanda nzima mmedumaa ndo maana hapo taarifa sahihi 100% ya serikali wewe unaona mang'amung'amu tu. Njombe ndo kinala wa udumavu Tanzania.
 
Jibu swali langu waliodumaa akili wanaweza kuwa ndio wafanyabiashara wakubwa Tzn? Waliodumaa akili ndio wanaweza kuwa wasomi Tzn?

Hizo ni taarifa na Takwimu uchwara na haziwezi kuwasaidia kuondokana na umaskini uliotopea Kanda ya Ziwa.
Kwanza hapo ulipo umedumaa kifikra na kiakili na hizo ni dalili za lishe duni kipindi cha ukuaji wako.
 
Kamwe hawawezi kuwa, ndo maana kwa udumavu wenu mmebaki kuwa wajinga na masikini, duh! Kanda nzima mmedumaa Afya ya mwili na Afya ya akili!! Hapo ukiweka top 7 na mbeya inaingia, ila njombe ndo namba moja kwa udumavu nchini.
 
😝😝😆😆😆 Mkuu tatizo nini ikiwa mikoa yote Kanda ya Ziwa inaongoza kwa umaskini?👇

Screenshot_20211018-114222.png

Screenshot_20211018-114259.png
 
Kwanza hapo ulipo umedumaa kifikra na kiakili na hizo ni dalili za lishe duni kipindi cha ukuaji wako.
😝😝 Nimekuuliza hapo juu kwa nini waliodumaa wanaongoza kuwa wafanyabiashara wakubwa Nchini hujajibu..Sasa ndugu kama kudumaa kumeniganya kuwa engineer bora niendelee kudumaa,huu ni udumavu wenye maana kumbe nisingekuwa nimedumaa ningekuwa kama Einstetein .

Meanwhile maskini wakubwa Hawa hapa 🤣🤣🤣🤣👇

Screenshot_20211018-114222.png

Screenshot_20211018-114259.png
 
Back
Top Bottom