Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sisi Njombe tunamgodi ambao ukianza tu nchi yote ya Tanzania inapataa neema na mwanzo mpya .MCHUCHUMA na LIGANGA🙂🙂🙂🙂🙂 Kama si ndugu yenu kuzuia sasa hivi tungekua tunazalisha chuma.
Kuna mgodi mpya wa dhahabu Sengerema, haujaanza uzalishaji. Yaaani hiyo Trillion 17 ya Dar tunaisawazisha ndani ya miaka mitano ijayo

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile
 
Sasa hiyo 87% ya njombe imeenda wap saiv😀😀😀 takwimu za vigazeti uchwara
By the way rukwa iko kanda yenu inakuaje tena ipo mwisho😀😀
Rukwa sishangai Kwa sababu hata wakati wanafanya utafiti kulikuwa hakuna hata barabara Kwa hiyo umaskini usingekwepeka .But now wakifanya utafiti Tena huwezi kuikuta Rukwa kwenye umaskini..

Cha kushangaza na kusikitika sasa top ten ya mikoa maskini Tzn ,6 Kati Yao inapatikana Lake zone,huu ni umaskini wa kutisha na mnavyozidi kuzaana hovyo mamaaah mtakuwa kama Soweto au Kibera.
 
Kama GDP ya Mwanza kwa sasa ni hiyo na bado miradi mikubwa ya kuinua uchumi wa Mwanza bado haijakamilika kama vile, daraja la kigongo busisi, sgr, bandari ya nchi kavu fella, ujenzi wa meli wa mv Mwanza hapa kazi tu, ujenzi wa jengo la abiria la Mwanza airport, gold refinery, ujenzi wa soko kuu Mwanza, ujenzi wa stendi kubwa ya Nyamhongolo pale Ilemela, ujenzi wa stendi ya Nyegezi na hotel ya nyota tano pale capripoint je hivi vikikamilika Mwanza itakuwa wapi??
Miradi mikubwa 😀😀,,kwamba ukijenga daraja badala ya kivuko ndio GDP inaongezeka?

Kwamba hiyo miradi ya vistendi ndio itaongeza GDP? By the way miradi ipo kila sehemu hapa Tzn..mathalani kwa mkoa wa Njombe miradi mikubwa 3 ya barabara za lami unaendelea,miradi 3 ya mabwawa ya umeme na mgodi mkubwa wa madini ya chuma/makaa ..

Kwa akili yako finyu miradi ya Njombe na hiyo ya kwenu ipi itachangia GDP kubwa kwa mkoa na Nchi?

Usipende kujifariji Sana hakuna mkoa uliolala hata kidogo,kwa Mbeya kuna ujenzi wa barabara kuu ya kuja Tabora/ Singida,ujenzi wa barabara kuu ya Tanzam,ujenzi wa mgodi mkubwa Rare earth metals na ujenzi wa stand na barabara za dual carriage mjini,just to mention the few..
 
Miradi mikubwa ,,kwamba ukijenga daraja badala ya kivuko ndio GDP inaongezeka?

Kwamba hiyo miradi ya vistendi ndio itaongeza GDP? By the way miradi ipo kila sehemu hapa Tzn..mathalani kwa mkoa wa Njombe miradi mikubwa 3 ya barabara za lami unaendelea,miradi 3 ya mabwawa ya umeme na mgodi mkubwa wa madini ya chuma/makaa ..

Kwa akili yako finyu miradi ya Njombe na hiyo ya kwenu ipi itachangia GDP kubwa kwa mkoa na Nchi?

Usipende kujifariji Sana hakuna mkoa uliolala hata kidogo,kwa Mbeya kuna ujenzi wa barabara kuu ya kuja Tabora/ Singida,ujenzi wa barabara kuu ya Tanzam,ujenzi wa mgodi mkubwa Rare earth metals na ujenzi wa stand na barabara za dual carriage mjini,just to mention the few..
Sisi ligi yetu ni dar ingawa wanatuzidi, njombe tupa kule, ligi ya njombe ni kigoma ingawa bado njombe inazidiwa na kigoma, angalia kigoma na njombe hapo nani anautapiamlo zaidi, UTAPIAMLO ni dalili ya ufukara uliotukuka.
Screenshot_2021-10-18-11-13-14-73.jpg
Screenshot_2021-10-18-11-27-29-41.jpg
 
Hata kauzibe kawekwaje Njombe itakuwa na kuzipita Iringa na Songea ndani ya miaka 10-15 ijayo, ule ni mkoa wa fursa na wachapakazi.

Shinyanga sio kwamba inapendelewa, hapana ilisha consolidate position yake miaka mingi kabla ya migodi Kahama ilikuwa kijiji wakati tayari shy ni mji mkubwa na pili shy ina fursa ya kujengwa viwanda coz iko tambarare na iko jirani na Mwanza.
Njombe kuna uchumi wa mazao ya misitu mkubwa sana , mazao ya chakula pia yanachangia na fursa zingine zinaweza kuzalishwa kwa ukubwa kutokea hapo kama tunavyoona au kama inavyotarajiwa ila uchumi wa kahama ni wa biashara na migosi ya dhahabu , biashara iliinuka sana mawasiliano ya barabara kwenda uganda na rwanda yalipoimaroshwa muingiliano ukaongezeka. Kwa hivyo nature ya kiuchumi kati ya Njombe na Kahama ni tofauti ni ngumu kupredict nani atampiku mwenzie,
 
Mwaka huu Njombe inapiku Kahama,tunadaiwa mil.400 tuu kuwapita..Ni wazi growth rate ya Njombe ni kubwa kuliko Kahama.👇

Screenshot_20210819-135201.png
 
Zaidi ya 50% wa watu wa kusini ni masikini kiasi cha kushindwa kujikimu hata msosi nacheka Kama mazuri vile!, Njombe ndio kinala wa umasikini, 53.6% ya wananjombe wana umasikini uliopelekea utapiamlo kwa kukosa lishe.View attachment 1980909
Umacheka au unajichekesha kwa kujifariji,,Tzn hii kuna maskini kuwazidi Lake zone? Sio mimi ni Serikali unajifanya hujui kusoma? 😝😝..

Maskini ni Hawa hapa 👇

Screenshot_20211018-114259.png

Screenshot_20211018-120117.png
 
Walivyopiku toka zamani,hofu na wivu vinakusumbua,bado mil.400

View attachment 1980916
Ndo nini hiki, ujiandikie post mwenyewe na mautapiamlo yako, uscreenshot huku ukikata id yako afu uje hapa ujitekenye na kucheka mwenyewe, kahama haiwezi kuzidiwa na wenye lishe duni, kumbuka kahama hakuna utapiamlo, kule watu wanakula wanashiba vizuri sababu wa pesa.
 
Back
Top Bottom