Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Umehamia arusha tena😀😀😀
Anyways huku nako bado wanatusalimia
Mkubwa mkubwa tu
Mwambie aongeze na mikoa mingine tena ndo aje ashindanishe na jiji la Mwanza.
 
TAMISEMI na KAHAMA
1634406493356.png
 
Ubishi baada ya DAR nani anafuata umeisha rasmi leo.
1. DAR
2. Mwanza
1634490367156.png

"Mwanza ni Mkoa wa pili nchini kuchangia fedha nyingi katika pato la Taifa, mwaka 2019 makusanyo ya mapato yalikuwa Trilioni 10.2 na hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.35% na mwaka 2020 yalikuwa Trilioni 10.9 hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.38.8% "
"Katika kipindi cha miezi 6, Serikali imeleta Mwanza shilingi Bilioni 344 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya wananchi ikiwemo Bilioni 219.1 ya kutekeleza miradi ya ujenzi ambapo Bilioni 44.7 zitatumika katika ujenzi wa Stendi ya Nyamhongolo na Nyegezi"
"Serikali imeleta shilingi Bilioni 18 kwa ajili ya ujenzi wa MV Mwanza yenye uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo, kazi imefikia asilimia 89, Ujenzi wa meli unatarajiwa kukamilika Mei, 2022 kwa gharama ya shilingi Bilioni 89.154, Serikali imeleta Mwanza Bilioni 15.2, Bilioni 8.3 kwa ajili ya kujenga Hospitali 3 za Wilaya, kumalizia Hospitali 2 za Wilaya, kujenga Vituo vya Afya 5 na Zahanati 21,kukarabati na kujenga vituo vya huduma 48 pia zimeletwa Bilioni 6.4 za kununulia dawa"
"Serikali imeleta shilingi Bilioni 174 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 pamoja na barabara za kuingia darajani zenye urefu wa kilometa 1.66, mradi huu hadi ukikamilika utagharimu shilingi Bilioni 699.278"
"Serikali inaendelea na dhamira yake ya kuliimarisha Jiji la Mwanza ambapo tayari imeshafanya mazungumzo na mwekezaji atajayejenga hotel ya kuelea majini katika Ziwa Victoria itakayosaidia kuvutia watalii na kupendezesha Jiji"——— Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa @gersonmsigwa akiwa Mwanza leo
 
Ubishi baada ya DAR nani anafuata umeisha rasmi leo.
1. DAR
2. Mwanza
View attachment 1977718

Kwani Opportunity Cost anasemaje?
 
Sometimes huwa hueleweki,GDP figures ziko humu na ndicho hicho kilichoelezwa na msemaji mkuu wa Serikali..

Hata huyo msemaji wa serikali kazingua,huwezi sema eti Mkoa wa Mwanza unachangia mapato kwa 7% bali unachangia uchumi kwa 7% na sio mapato,huu ni upotoshaji.

Alichosema ni kipo hapo kwa mujibu wa NBS ko hiyo hakuna jipya,sasa hayo ni mapato? 👇

Screenshot_20211010-093855.png

Screenshot_20210912-124500.png
 
Ukichukua Takwimu hizo hapo juu ,zimekuwa kwenye hizo figures toka 2016,hii ni wazi kwamba uchumi ulianguka vibaya Sana awamu ya yule mtu wenu.

Kwa mfano Mbeya ilipungua kutoka 5.65(2016) hadi 5.62(2020) na Mwanza kutoka 7.4(2018) hadi 7.38(2020).
 
Sometimes huwa hueleweki,GDP figures ziko humu na ndicho hicho kilichoelezwa na msemaji mkuu wa Serikali..

Hata huyo msemaji wa serikali kazingua,huwezi sema eti Mkoa wa Mwanza unachangia mapato kwa 7% bali unachangia uchumi kwa 7% na sio mapato,huu ni upotoshaji.

Alichosema ni kipo hapo kwa mujibu wa NBS ko hiyo hakuna jipya,sasa hayo ni mapato? 👇

View attachment 1977753

View attachment 1977754
Hahaaaa
Mzeee wa muhaho
Kila siku unakuja na jipya
 
Hiyo ndio barabara kali za Jiji uchwara

Sikuwekei road za Mbeya City utajinyonga,,nakuwekea barabara za Manispaa ya Sumbawanga alafu linganisha na huo uchafu umepost hapo juu..

Kusini kumesahaulika ,,ukipata barabara kali kama hizi Jiji uchwara la Mwanza na poverty zone yote nitag

View attachment 1943001

View attachment 1943002

View attachment 1943003

View attachment 1943004

View attachment 1943005

View attachment 1943006

View attachment 1943007

View attachment 1943008

View attachment 1943009

View attachment 1943010
Ndugu..utaongea maneno mengi sana ya muwamba ngoma lakini ukweli ni kwamba ukiachana na Dar es Salaam ni Mwanza-Arusha kisha anza sasa kulinganisha maeneo mengine
 
Kwetu hatuna shida ndogo ndogo kama zinazowakabili nyie,pili Kusini kila kitu ni uhakika kwa hiyo hakuna sababu za viongozi kuhangaika na Kusini,huko kwenu ni Kanda kama maji tuu ni mziki mnene sasa lini uliwahi ona hata kwenye TV Kusini maji yanasumbua?..

Serikali isipoleta tunachomba chini na kwenye moto yapo ya kutosha sasa sehemu kama hii utalinganisha vipi na huko semi arid? Zebaki na radio zitawamaliza nyie watu wa Lake zone.

Baada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
 
Kuna nini cha ajabu Arusha au kutegemea utalii ndo umeona dili? Kama mji unategemea chanzo kimoja cha mapato kamwe hiyo Arusha usije kuilinganisha na Mwanza, Chuki zako dhidi ya kanda ya ziwa haiwezi kubadilisha chochote waliotangulia wameshatangulia tu.....
 
Kwetu hatuna shida ndogo ndogo kama zinazowakabili nyie,pili Kusini kila kitu ni uhakika kwa hiyo hakuna sababu za viongozi kuhangaika na Kusini,huko kwenu ni Kanda kama maji tuu ni mziki mnene sasa lini uliwahi ona hata kwenye TV Kusini maji yanasumbua?..

Serikali isipoleta tunachomba chini na kwenye moto yapo ya kutosha sasa sehemu kama hii utalinganisha vipi na huko semi arid? Zebaki na radio zitawamaliza nyie watu wa Lake zone.

Baada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
Prof.Adolf Mkenda, asema udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa inayozalisha chakula kwa wingi na hii yote inatokana na ukosefu wa elimu katika mikoa hiyo.
Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 49.9%, Iringa 47.1%, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41%.
 
Mikoa ya kusini kabla ya kupambana na mikoa ya kanda ya ziwa pambaneni kwanza na viribatumbo, kwashiokor pamoja na udumavu wa kimwili mkimaliza hayoa njooni tuendelee na mpambano wa kiuchumi.
 
Prof.Adolf Mkenda, asema udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa inayozalisha chakula kwa wingi na hii yote inatokana na ukosefu wa elimu katika mikoa hiyo.
Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 49.9%, Iringa 47.1%, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41%.
Kwa hiyo KGM na Njm ni ndugu eti? 😛😛😛😛
 
Prof.Adolf Mkenda, asema udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa inayozalisha chakula kwa wingi na hii yote inatokana na ukosefu wa elimu katika mikoa hiyo.
Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 49.9%, Iringa 47.1%, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41%.
Onyesha aliposema maana naona wewe ndio unajisemesha 😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom