Yes kahama inapaa Sana .Sita kuhusu Filling Station mpya mjini sikupata nafasi kupiga picha, ila roughly , nimekutana na na filling station mpya 5 katikati ya mji baadhi zimeanza kazi na nyingine wanamaliizia ujenzi, In short Kahama inapaaa
Tulami tumepauka alafu tubaya..zilozokamilika zimeisha ?Tatu............another bank to open branch soon.........EQUITY BANK in Kahama
View attachment 1968200
View attachment 1968203
Ukimaliza tutakuja kufanya hesabuKahama Municipal Hospital on the final touch
View attachment 1968204
Hiyo kasi iko wapi? Hebu tuonyesheYes kahama inapaa Sana .
Mji unakua kwa Kasi sana
Haka kaofisi ka nssf tumekuchoka humu ndani toka mumeanza kuka post wakati Uzi unaanza hakuna majengo mengine?
Sisi tunaoifahamu kahama tunakiriHiyo kasi iko wapi? Hebu tuonyeshe
Kunywa soda ntalipa mkuuUkisikia Jiji kwa Tzn nje ya Dar ni Arusha,sio uchafu huo mwingine wa huko Mwanza ..
Jiji linakuwa hivi sasa ,👇
View attachment 1944808
View attachment 1944809