Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani pesa za dhahabu ufananishe na pesa za mbao we kweli unachekesha, mbao hadi mpande miti mje mvune ni lini
Pesa ya Dhahabu inaenda Europe na pesa ya Mbao inabaki Tz ipi ni Bora,lakini hata Chunya Kuna madini pia lakini unachpaswa kujua ni hiki Madini mnyororo wake kuwakuta watu wa chini ni kazi kubwa tofauti Agroproducts.
 
Njombe mkoa ule mkuu huwez fananisha na izo wilaya.....nimeishi njombe miaka 15 iliyopita tayar ilishakuwaga mjin....sasa miaka hii si ndio hatar
 
Screenshot_2021-10-04-12-20-55-18.jpg
 
Pesa ya Dhahabu inaenda Europe na pesa ya Mbao inabaki Tz ipi ni Bora,lakini hata Chunya Kuna madini pia lakini unachpaswa kujua ni hiki Madini mnyororo wake kuwakuta watu wa chini ni kazi kubwa tofauti Agroproducts.
Wape shule wanaojifanya hawaelewi 🙏🙏🙏
 
Ahahahaaaaaa, aibu hii. Njombe kama Njombe yenye mapato ya kumwaga

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Geographia ya Wilaya Ludewa ni milima milima Sana hivyo si kazi rahisi kuwa na mtandao barabara mzuri kwa vijiji vyote hii iko hata sehemu nyingine za dunia na Tanzania Kama ilivyo upareni/Same.Lakini asilimia 90 ya vijiji vya Ludewa vinapata usafiri mzuri tena mabasi Mazuri tu.
 
Back
Top Bottom