Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nikuambia leta takwimu za mikoa yote nitakuonesha simiyu ilipo.
Unatapatapa,😄😄😝😝 Kagera 👇

Screenshot_20211012-195542.png
 
Achaneni na Njombe kabisa nyie sio mkoa wa kulinganisha na wachunga ng'ombe na washamba..

Jitihada za Wananjombe zinatambuliwa kitaifa wewe ni nani hadi upinge?

Ni Njombe Tena 👇

View attachment 1972304

View attachment 1972305

View attachment 1972306
🥑🥑🥑🥑🥑Sasa watu tunapowaambia Njombe kwa ukuaji ni level nyingine wawe wanatuelewa.Born 2012 growing at 63% wakati mikoa kongwe Kama kagera ikikua kwa nusu ya Njombe it is massive and phenomenon improvement.Five years to come our GDP will be 4+Go Njombe Go
 
Siku zote ukiona mtu anaongelea ubaya wako tu ujue Kuna good side of you ambayo anashindwa kuiachieve.Ili at least mlingane kiuwezo but huwa sio possible....

Ndo maana ukiangalia makabila successful nchini Kama wahaya,wachaga nk yanapigwa vita na kutukanwa Sana nchini kwa sababu yamepiga hatua kuliko makabila yote katika nchi hii.

Wew kwa akili yako timamu unaweza linganisha usukumani na uhayani si mbingu na Ardhi kabisa hata Kama GDP ya kagera ni ndogo.

Hata Nigeria Wana GDP kubwa lakin Kuna umaskini wa kutupa
 
Sound tuu hamna kitu 😆😆😂😂 Kagera bwana ona hapa 👇

Screenshot_20211012-195542.png
 
We unamuamini huyo mjinga? Jengo la kwanza kuwa na lift ni toka 2012(Jengo la chama cha walimu) .

Huyo jamaa ni mshamba tuu kama kenge wengine,jitu hata haijulikani lilowahi fika Mbeya lini linaropoka tuu,linadhani Mbeya ya Sasa ni ya kama zamani.

Kuna majengo mengi tuu yenye rift na miongoni mwayo ni haya hapa

Screenshot_20210908-223725.png

Screenshot_20210804-224127.png

Screenshot_20210804-224018.png

Screenshot_20210804-224002.png

Screenshot_20210906-201313.png

2940502_mdopeiddehotel_tz-___CTujdtdtA1K___-.jpg

2940495_grcityhotelmbeya-___CO1rhybhDdm___-.jpg

2940501_jr_sports_tz-___CRcAdcUroHE___-.jpg
 
We unamuamini huyo mjinga? Jengo la kwanza kuwa na lift ni toka 2012(Jengo la chama cha walimu) .

Huyo jamaa ni mshamba tuu kama kenge wengine,jitu hata haijulikani lilowahi fika Mbeya lini linaropoka tuu,linadhani Mbeya ya Sasa ni ya kama zamani.

Kuna majengo mengi tuu yenye rift na miongoni mwayo ni haya hapa

View attachment 1973178

View attachment 1973179

View attachment 1973180

View attachment 1973181

View attachment 1973183

View attachment 1973184

View attachment 1973185

View attachment 1973186
Yaan Hilo jengo ndo linaloonekana tu
 
Mwisho wa siku hii ndio kahama yenyewe
Tuweni serious sometimes,
Honestly this settlement haina hadhi ya manispaa..
Poor,disorganized, dirty

Baada ya pwani na kanda ya ziwa inafuata kaskazini, kusini ni ya Mwisho kabisa huko mkiani, Leo tena Rais yuko kanda ya ziwa kwa mara nyingine, yaani yeye anarudiarudia pwani na kanda ya ziwa tu , ila kwa Sasa itabidi aende kaskazini make ndo kanda inayofuatia kwa umuhimu katika nchi hii baada ya Pwani na Lake zone, Kusini nyie ni wa mwisho mkiani kabisa,ila tulieni ipo siku atakuja japo kuwazuga kidogo make nyie mmetengwa.
Screenshot_2021-10-14-10-47-12-71.jpg
 
Baada ya pwani na kanda ya ziwa inafuata kaskazini, kusini ni ya Mwisho kabisa huko mkiani, Leo tena Rais yuko kanda ya ziwa kwa mara nyingine, yaani yeye anarudiarudia pwani na kanda ya ziwa tu , ila kwa Sasa itabidi aende kaskazini make ndo kanda inayofuatia kwa umuhimu katika nchi hii baada ya Pwani na Lake zone, Kusini nyie ni wa mwisho mkiani kabisa,ila tulieni ipo siku atakuja japo kuwazuga kidogo make nyie mmetengwa.View attachment 1973820
Tarehe 18 atakuwa ziarani kagera
 
Hata asipokuja hadi amalize awamu, hata watangulizi wake walikuwa hawatembelei wala kuelekeza miradi nyanda za juu kusini but guess what???
Watu wa kusini hatuishi kwa Kudra ccm Mzee. We are hard workers na ndio maana tumepiga hatua kiuchumi na kijamii.
Free your mind and Learn from us.
 
We unamuamini huyo mjinga? Jengo la kwanza kuwa na lift ni toka 2012(Jengo la chama cha walimu) .

Huyo jamaa ni mshamba tuu kama kenge wengine,jitu hata haijulikani lilowahi fika Mbeya lini linaropoka tuu,linadhani Mbeya ya Sasa ni ya kama zamani.

Kuna majengo mengi tuu yenye rift na miongoni mwayo ni haya hapa

View attachment 1973178

View attachment 1973179

View attachment 1973180

View attachment 1973181

View attachment 1973183

View attachment 1973184

View attachment 1973185

View attachment 1973186
Jiji zima naona gorofa moja tu
 
Hata asipokuja hadi amalize awamu, hata watangulizi wake walikuwa hawatembelei wala kuelekeza miradi nyanda za juu kusini but guess what???
Watu wa kusini hatuishi kwa Kudra ccm Mzee. We are hard workers na ndio maana tumepiga hatua kiuchumi na kijamii.
Free your mind and Learn from us.
Acha uongo wewe, CCM imewajengea vidispensary , vishule, vibarabara, umeme afu unakuja hapa unajifaragua eti hamuishi kwa kudra za ccm, sio kama kwamba hampati kabisa hapana bali nyie ni wa mwisho kabisa make hata kwa umuhimu pia ni wa mwisho.
 
Back
Top Bottom