Kahama VS Njombe/Mafinga

Mavumbini kusini kumetengwa[emoji3][emoji3][emoji3], miradi mikubwa kanda ya ziwa na pwani, mkuu wa nchi anarudiarudia kanda ya ziwa na pwani, mavumbini kusini kwake mwiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manyumbu ya ccm mnafarijiana 😆😆
 
Manyumbu ya ccm mnafarijiana [emoji38][emoji38]
Wewe mwenyewe ni linyumbu la ccm lakini Rais bado anawatenga make kura za kusini mavumbini ni uhakika. Hata Rais na serikali yake asipofanya lolote huko mavumbini mnapigia kura ccm tu na ndo maana ahangaiki na nyie.
 
Sasa baridi ina shida gani Mzee, umepanic Mkuu.
 
Mh. Rais anakuja tena kwa mara nyingine kanda kuu kanda ya ziwa, Ni mara ya tatu Sasa ndani ya miezi mitano toka awe Rais, kusini kumesahaulika mno hadi rais mwenyewe anapasahau [emoji38][emoji38]

Fresh tu Mzee, Huku kusini hatutegemei ccm, na haijawahi tokea. Tumejenga miji, makazi bora, mashule, Tumepeleka watoto mshuleni kwa kutegemea akili zetu na wala sio serikali dhalimu ya ccm. Na bado tunalisha nchi nzima na nchi jirani.
 
Teh teh eti mnalisha nchi nzima!![emoji23][emoji23]

Leta takwimu [emoji23]
 
Ngoja niwarudishe jijini Mbeya tupate wazamini afu tutarejea.

Karibu Jijini Mbeya 👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…