Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hzo hospital nyanda za juu kusin zipo za kutosha ndoo maana mnatoka hko mnaenda kutibiwa nyanda za juu kusini mfano ikonda
 
Hzo hospital nyanda za juu kusin zipo za kutosha ndoo maana mnatoka hko mnaenda kutibiwa nyanda za juu kusini mfano ikonda
 
Mambo ya Nyanda za Juu mkeka wa gharama huo

Screenshot_20210809-110815.png

Screenshot_20210809-110753.png
 
Nikukumbushe tu vifaa vya umeme vya KODTEC vinazalishwa na Kampuni ya mtanzania toka makete Nyanda za Juu kusini huenda East Africa nzima hakuna mtu amepata hiyo fursa China.Kampuni kubwa ya kusafirisha mizigo toka China na Asia ya GNM ni ya watu toka Nyanda za Juu kusini.Ukifika Dar es Salaam ulizia peacock hotel ya nani?,Landmark hotels wote hao ni from southern Highland,na tumekuja hadi bukoba tumechukua Kampuni moja wapo,tunameli inawaletea mizigo toka Mwanza kuja huko bukoba.😂😂😂
Ni hivi achana na hao wala Michembe,usichese na watu wa Njombe tunashikilia uchumi wa mikoa 4 Tzn yaani Njombe,Mbeya,Iringa,Ruvuma na baadhi ya mikoa ya Songwe,Rukwa,Dar..

Hata kwenye madini sie ndio wanunuzi wakuu na hata mwenyekiti wa wachimbaji wadogo wa madini Tzn ni mtu kutoka Njombe sasa hao watatueleza nini ?
 
Uchumi my foot
 
Mpaka sasa Taasisi za elimu ya juu Mwanza 16 na Mbeya 7. Tukikwambia huijui Mwanza mpaka unataka kulia
emoji13.png
emoji13.png
emoji13.png
emoji13.png

IFM
CBE
DIT
TIA
RUCO
SAUT
CUHAS
IRDP
BOT Training institute
Mzumbe
CCOHAS
TIHAS
Open University of Tanzania
Chuo cha Mali asili Pasiansi
Chuo Cha Uvuvi Nyegezi
Nyegezi Social Training Institute

Au tuongeze na Veta na TTC???
emoji13.png

Bado FM radio station za Mwanza Jiji tu
emoji13.png
emoji13.png
emoji13.png

Kwa Neema Fm
Living water FM
HHC Fm
Jembe Fm
Passion Fm
Saut Fm
Lake Fm
RFA
Kiss Fm
City Fm
The base Fm
Sayuni Fm
Metro Fm
Mkombozi Fm
Iqra Fm
Afya Radio

hizi Ni radio nilizoziacha Mwanza Jiji miaka mitatu iliyopita, naimani zatakuwa zimeongezeka hata tano nyingine
emoji13.png
Naona wewe mapanki unaweweseka Sana nilitarajia kila post utaijibu ikiambatana na picha kama nilivyoweka hapo juu kuanzia na universities sasa wewe umeenda hadi kuweka vyuo vya uchochoroni,nikianza kuviweka hivyo kwa Jiji mbeya utaaibika.

Kula mkeka huo hapo chini una vyuo 20
Mpaka sasa Taasisi za elimu ya juu Mwanza 16 na Mbeya 7. Tukikwambia huijui Mwanza mpaka unataka kulia

IFM
CBE
DIT
TIA
RUCO
SAUT
CUHAS
IRDP
BOT Training institute
Mzumbe
CCOHAS
TIHAS
Open University of Tanzania
Chuo cha Mali asili Pasiansi
Chuo Cha Uvuvi Nyegezi
Nyegezi Social Training Institute

Au tuongeze na Veta na TTC???

Bado FM radio station za Mwanza Jiji tu

Kwa Neema Fm
Living water FM
HHC Fm
Jembe Fm
Passion Fm
Saut Fm
Lake Fm
RFA
Kiss Fm
City Fm
The base Fm
Sayuni Fm
Metro Fm
Mkombozi Fm
Iqra Fm
Afya Radio

hizi Ni radio nilizoziacha Mwanza Jiji miaka mitatu iliyopita, naimani zatakuwa zimeongezeka hata tano nyingine

Screenshot_20210807-192845.png

Screenshot_20210807-192830.png

Screenshot_20210807-192813.png

Screenshot_20210807-192822.png
 
Naona wewe mapanki unaweweseka Sana nilitarajia kila post utaijibu ikiambatana na picha kama nilivyoweka hapo juu kuanzia na universities sasa wewe umeenda hadi kuweka vyuo vya uchochoroni,nikianza kuviweka hivyo kwa Jiji mbeya utaaibika.

Kula mkeka huo hapo chini una vyuo 20

View attachment 1886900

View attachment 1886901

View attachment 1886902

View attachment 1886903
What is this ??? Panic mode huhh??

1628580019952.png

Mpaka vyuo vya wilayani yaani vipo Mbeya jiji??? Labda kama Mwanza Jiji inapambana na Mkoa mzima wa Mbeya..
1628580089883.png
 
Take 21-2=19..Mbeya CC 19,Mwanza CC 16 😆😆😆😆 bado hauko salama.

Open University of Mbeya👇👇
Nimeona umeweka na TTC humo 😀 😀 😀 😀
Butimba TTC
Montesory TTC
Victoria Institute of Health and Allied Science
Bugando School of Nursing
Mkolani Nursing and Midwifery School
Mwanza polytechnic institute
Mkolani foundation health sciences training institute
Mwanza polytechnic institute
ESAMI - Mwanza
National College of Tourism - Mwanza campus
Mwanza campus - water Institute (On progress to be opened)
Jema Institute of Technology

Chukua Mwanza CC 16+12 unapata 28 na Mbeya watabaki na 19 bado

Kahama yenyewe tu, Kuna Fm radio kama nne au tano zinazotangaza kutoka Kahama

Kahama Fm
Divine Fm
Huheso Fm
Gold Fm
Mapanki acha kutia aibu yaani FM radio stations ndio za kulingia? 😆😆😆😆

Njombe hizo hapo👇👇

Screenshot_20210810-102452.png

Screenshot_20210810-102058.png
 
Wewe TTC umeielewaje? Acha kukariri unafeli Sana mapanki hicho kichwa kama hakina ubongo unafugia nywele tuu una hasara 🏃🏃🏃
Nimeona umeweka na TTC humo 😀 😀 😀 😀
Butimba TTC
Montesory TTC
Victoria Institute of Health and Allied Science
Bugando School of Nursing
Mkolani Nursing and Midwifery School
Mwanza polytechnic institute
Mkolani foundation health sciences training institute
Mwanza polytechnic institute
ESAMI - Mwanza
National College of Tourism - Mwanza campus
Mwanza campus - water Institute (On progress to be opened)
Jema Institute of Technology

Chukua Mwanza CC 16+12 unapata 28 na Mbeya watabaki na 19 bado

Nimeongeza na TTC Boss, haya Mwanza 28 Mbeya 19 😀 😀 😀
 
Nikisema Njombe ni wachache kwa Kahama, unataka kulia Kahama kuna radio nne zinazotangaza kutoka ndani ya Municipal. Huko Njombe mpaka mpige collabo na akina Makete eti?
View attachment 1886954
Hatuhitaji collabo na mtu hapo nili qourte outdated source.

Currently kuna fm radio stations zifuatazo Mjini Njombe 👇👇

Kings fm radio,
Uplands fm radio,
Starter FM radio,
Radio Maria Tanzania Njombe station
Green fm radio,

Wilayani kuna zifuatazo,
County fm radio na Kitulo FM radio ziko Makete

Radio best fm ,Ludewa.
 
Nimeona umeweka na TTC humo 😀 😀 😀 😀
Butimba TTC
Montesory TTC
Victoria Institute of Health and Allied Science
Bugando School of Nursing
Mkolani Nursing and Midwifery School
Mwanza polytechnic institute
Mkolani foundation health sciences training institute
Mwanza polytechnic institute
ESAMI - Mwanza
National College of Tourism - Mwanza campus
Mwanza campus - water Institute (On progress to be opened)
Jema Institute of Technology

Chukua Mwanza CC 16+12 unapata 28 na Mbeya watabaki na 19 bado

Nimekutajia vyuo vyenye hadhi wewe unaleta akina Tandabui and the likes,nikitaja hao basi hutamaliza kwa Mbeya.

Vyuo vikuu nimekuchapa unakimbilia kuleta college uchwara.
 
Nimekutajia vyuo vyenye hadhi wewe unaleta akina Tandabui and the likes,nikitaja hao basi hutamaliza kwa Mbeya.

Vyuo vikuu nimekuchapa unakimbilia kuleta college uchwara.
bora TTC kuliko Tandabui eti??? Tandabuhi unamuona mdogo na anamiliki Afya fm radio???? 😀 😀 😀 😀
1628584055657.png
 
Back
Top Bottom