Wewe ndio utwambie ni kukumbushe kuwa barabara ya Dar-Njombe-Songea ni kongwe sanaEh eh hiv Kati ya njombe , sumbawanga na mbeya na bukoba ni wap lami iliwahi kujengwa
Nyie Hadi leo mnaangaika na barabara za wilaya 2021?
Halafu mtakuwa watu wafupi maneno mengi but nothing nothing
Mara mia , nyingine hii hapa π
Hii nchi kubwa hivi afu unasema imejaa? Kuchukua adjucent areas kutoka Halmashauri zingine kuna shida gani?Angalia kilometa za mraba za manispaa ya bukokoba tayari eneo lilishajaa the same at moshi and kigoma ujiji maeneo hayo ni madogo kwa mipaka yake hivyo huwezi kuanzisha mradi kwa sababu viwanja vilishajaa leo hii ukitaka hekari 100 uanzishe kiwanda bukoba manispaa huwezi kupata hivyo hawana vyanzo vipya vya mapato tatizo ni ufinyu wa eneo mfano kahama manispaa wanamaeneo makubwa ndio maana viwanda vingi vidogo vikubwa na vya kati vinajengwa hapo najuzi umy mwalimu kafanya kikao cha wakuu wa mikoa waganga wakuu na maafisa lishe nchi nzima wakiwemo na wa njombe ili kujifunza jinsi ya kutumia mapato ya ndani kuanzisha miradi ya maendeleo kahama manispaa imekusanya mapato ya ndani shilingi bilion 9 point 6 imekuwa manispaa ya mfano leo hii wanaweka lami km 5 kwa pesa ya ndani wanabomoa majengo ya mahakama na kujenga gorofa kwa mapato ya ndani halmashauri zingine ikiwemo njombe hazifanyi hivyo wanapeleka matumboni mwao tu
Kuna Miji mingi mikubwa kama ifuatavyo.Hivi ukiacha jiji uchwara la Mbeya kuna nini huko kusini labda baridi
Will never happen,despite Mwanza na kidogo Kahama the rest so called towns are mere Rural villages like Bukoba etc.Mpaka sa hivi mikoa yote ya Kusini imeungana kupambana na Bukoba
πππππ Wenzako walitafuta hizo picha toka nimeanzisha Uzi hawajawahi Zions zaidi ya machimbo na vigest houses kadhaa.Subiri nitafute picha za kahama huko kusini hakuna mji wa kuusogelea
Kaombe Kazi wewe mkono upate kwenda kinywani maana mnategemea makaratasi nyie.Hivi ukiacha jiji uchwara la Mbeya kuna nini huko kusini labda baridi
Umeishiwa picha za Bukoba sasa unatafuta pa kutokea ππ
Tzn hii wapi sio slums? Mkibanwa kende mnalia Sana vumilieni dozi iingie ππ.Miji uliyotaja hapo sio mbeya,iringa sijui Nini
Slums tupo.
Vijijini SasaKuna wachawi watupu
ππππ Unachekesha mwenzio kaaga eti anaenda kutafuta picha za Kahama baada ya kuishiwa za Bukoba ππ.Na miji ya kusini yote imetandikwa vibaya mno na mji mmoja tu wa bukoba.
Tatizo umechelewa Sana kuja kusaidia ndugu zako tunavyowapa kichapo kwa miji ya Kusini.Kwa kweli hakuna cha kumpeleka zaidi ya kula vumbi tu.
Unapost Vituo vya mafuta na makanisaUnachekesha mwenzio kaaga eti anaenda kutafuta picha za Kahama baada ya kuishiwa za Bukoba.
Sijamaliza naendelea kuwachapa na Sumbawanga town.Ukipata stand na mitaa kama hii huko Bukoba village town nitag
View attachment 1928833
View attachment 1928834
View attachment 1928835
View attachment 1928836
View attachment 1928837
View attachment 1928838
View attachment 1928839
View attachment 1928840
Hivi ukizungumzia mzunguko wa fedha wa kahama na njombe unalingana ?kahama imepewa hadhi ya mkoa TRA kahama ni mkoa wa madini kuna soko kubwa la madini kahama wanaingiza bilion 3 ushuru zao la mpunga kutoka mashine za malunga na kagongwa kahama wana NMB business bank tofauti na ile ya watumishi wanayochukulia mishahara na bank kama hii huko kwenu utaikuta mbeya tu na kanda ya ziwa iko mwanza na kahama tu kuhusu mzunguko wa fedha kanda ya ziwa hamjaweza kuizidi na haitatokea pia kahama peke yake ina matawi 14 ya bank inashindana na jiji la mbeya ukisema sababu ya madini kwani geita hayapo mbona bank hizo hazipo mbona mererani na tarime hazipoIla bado hamuwezi kufikia Bukoba na wala sio leo.
Njombe inakusanya na watu pia wanaendelea.Hiyo ndio tofauti,kinachoitofautisha Njombe na mikoa ya Kanda ya Ziwa ni divesity ya njia za uchumi,Njombe Kuna vitu vingi vya kiuchumi vinavyomnufaisha mtu binafsi moja kwa moja wakati mikoa mingine inategemea wawekezaji wakubwa kukusanya mapato ya serikali tu.Kodi ya wawekezaji inaenda haxina hivyo watu wanasubiri huruma ya serikali kuiridisha kidogo ndio maana mzunguko wa fedha unakua kidogo tofauti na Njombe,sababu nyingine ni Biashara za kati kua nyingi kwa watu wanjombe,unakuta karibu asilimia 30 ya kaya zina mtu anapiga Biashara hivyo inakua Kama Diaspora anayerudisha mzukunguko wa fedha.Ndio maana mikoa ya Nyanda za Juu haitegemei mhindi kuleta biadhaa muhimu au watu wa mbali ni sisi kwa sisi.
Rais anarudiarudia kwenda sehemu mbili tu, pwani na lake zone, hapendi vijijini na mavumbiniTatizo umechelewa Sana kuja kusaidia ndugu zako tunavyowapa kichapo kwa miji ya Kusini.
Kama kawaida yenu mnakuja na mdomo na maneno mengi bila picha za kuonyesha.
Any way you have nothing to show, Poverty zone yote ukipata pics kama hizi nitag.Mafinga town
View attachment 1928856
View attachment 1928857
View attachment 1928858
View attachment 1928859
View attachment 1928860
View attachment 1928861
View attachment 1928862
View attachment 1928863
View attachment 1928864
View attachment 1928865
View attachment 1928866
View attachment 1928867
View attachment 1928868
View attachment 1928869
View attachment 1928870
View attachment 1928871
View attachment 1928872
View attachment 1928873
Aahahaaaa, hivi tokea awe Raisi aliisha kanyaga Southern highland kweli????Unapost Vituo vya mafuta na makanisa
Rais wa nchi yuko kanda ya ziwa saizi, hii ni mara ya tatu ndani ya miezi mitano, kumbuka huyu Rais hapendi kabisa vumbi kwa hiyo nyie wa huko mavumbini subirini kwanza.
Hajawahi kanyaga kule vijijini, ana allergy na vumbi.Aahahaaaa, hivi tokea awe Raisi aliisha kanyaga Southern highland kweli????
Huko kuna manyumbu wazuri wakati wa kupiga kura π€π€ππ ππ Hata nikiwa mimi narudia hivyo hivyo.Rais anarudiarudia kwenda sehemu mbili tu, pwani na lake zone, hapendi vijijini na mavumbini
Mbunge wawapi huyu?Huko kuna manyumbu wazuri wakati wa kupiga kura π€π€ππ ππ Hata nikiwa mimi narudia hivyo hivyo.
Kwenye elite class huwezi mkuta kwa sababu hatuna ujinga sisi.
Mavumbini kusini kumetengwaHuko kuna manyumbu wazuri wakati wa kupiga kuraHata nikiwa mimi narudia hivyo hivyo.
Kwenye elite class huwezi mkuta kwa sababu hatuna ujinga sisi.