Miji ilivyojengeka indeedTuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.
Miji uliyotaja hapo sio mbeya,iringa sijui NiniTuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.
Iringa hii ya ipogoro,Samora,sijui mkwawaYaani kuleta vimiji kama bukoba ni kidhalilisha hadhi ya manispaa. Imagine Iringa iwe manispaa halafu na vijiji kama Bukoba navyo viwe manispaa.
Eh eh hiv Kati ya njombe , sumbawanga na mbeya na bukoba ni wap lami iliwahi kujengwaEti na Kabukoba Village town nako kanajiita Manispaayaani ni aibu hakana street lights,hakuna duala carriage roads,hakana service roads,hakuna stands na mbaya zaidi ni kamanispaa maskini hakuna income generating activities.
Hako kamji kamebakia kutegemea fadhila za serikali Kuu na remittances za wakazi wake walioko nje ya mkoa huo.
Hata airport wanayolingia ni matokeo ya kukosekana kwa barabara za maana kwa miaka mingi kuunganisha na sehemu zingine za nchi ,ikabidi airport iwe suluhisho la fasta kama ilivyo Kigoma.
Kuishi kimji kama Bukoba ni kutaka kufa ukiwa maskini.Nje ya Mwanza na Kahama hakuna kitu Kanda ya Ziwa kulinganisha na Kusini tuna miji mikubwa mingi Sana na inakua na ina mzunguko Mkubwa wa pesa.
Aende kufanya Nini huko kusini.Mh. Rais anakuja tena kwa mara nyingine kanda kuu kanda ya ziwa, Ni mara ya tatu Sasa ndani ya miezi mitano toka awe Rais, kusini kumesahaulika mno hadi rais mwenyewe anapasahau
Bukoba vijijini ni Raha Sana.Naona umeishiwa tupicha twa ghorofa za Bukoba sasa naendelea kukupa nyundo za utosi kutoka Swax town
View attachment 1928085
View attachment 1928087
View attachment 1928088
View attachment 1928089
View attachment 1928090
View attachment 1928091
View attachment 1928092
View attachment 1928093
View attachment 1928094
View attachment 1928095
View attachment 1928096
View attachment 1928097
View attachment 1928099
Mbona huishi kijijini kama ni raha, ππππBukoba vijijini ni Raha Sana.
Njombe mjini tu nyumba Kali hiz huzikutiView attachment 1928335View attachment 1928336View attachment 1928337View attachment 1928338View attachment 1928339View attachment 1928340
Lami gani mliyokuwa nayoEh eh hiv Kati ya njombe , sumbawanga na mbeya na bukoba ni wap lami iliwahi kujengwa
Nyie Hadi leo mnaangaika na barabara za wilaya 2021?
Halafu mtakuwa watu wafupi maneno mengi but nothing nothing
Unaongea ujinga mwingi Sana dingi , hadi 2000 kulikuwa hakuna barabarani ya kutoka Mwanza hadi Dar achilia mbali huko kijijini kwenu Bukoba mlikuwa mnalazimika kuzunguka Uganda.Eh eh hiv Kati ya njombe , sumbawanga na mbeya na bukoba ni wap lami iliwahi kujengwa
Nyie Hadi leo mnaangaika na barabara za wilaya 2021?
Halafu mtakuwa watu wafupi maneno mengi but nothing nothing
Bukoba mwaka 1972Lami gani mliyokuwa nayo
Unaongea ujinga mwingi Sana dingi , hadi 2000 kulikuwa hakuna barabarani ya kutoka Mwanza hadi Dar achilia mbali huko kijijini kwenu Bukoba mlikuwa mnalazimika kuzunguka Uganda.
Wakati hayo yakiendelea Kusini kulikuwa na barabarani kitambo kabisa kwa mfano toka miaka ya 1980 barabarani ya Makambako Songea ipo hapo sijagusia highway ya Tanzam.
Nyie ni limbukeni tuu.Kuhusu barabara za wailaya ndio kwaanza Tarura haina hata miaka 5 sijui unaongea nani.
Kwamba huoni watu.Mbona huishi kijijini kama ni raha,
Na miji ya kusini yote imetandikwa vibaya mno na mji mmoja tu wa bukoba.Mpaka sa hivi mikoa yote ya Kusini imeungana kupambana na Bukoba
Kwa kweli hakuna cha kumpeleka zaidi ya kula vumbi tu.Aende kufanya Nini huko kusini.
Hivi ukiacha jiji uchwara la Mbeya kuna nini huko kusini labda baridiEti na Kabukoba Village town nako kanajiita Manispaayaani ni aibu hakana street lights,hakuna duala carriage roads,hakana service roads,hakuna stands na mbaya zaidi ni kamanispaa maskini hakuna income generating activities.
Hako kamji kamebakia kutegemea fadhila za serikali Kuu na remittances za wakazi wake walioko nje ya mkoa huo.
Hata airport wanayolingia ni matokeo ya kukosekana kwa barabara za maana kwa miaka mingi kuunganisha na sehemu zingine za nchi ,ikabidi airport iwe suluhisho la fasta kama ilivyo Kigoma.
Kuishi kimji kama Bukoba ni kutaka kufa ukiwa maskini.Nje ya Mwanza na Kahama hakuna kitu Kanda ya Ziwa kulinganisha na Kusini tuna miji mikubwa mingi Sana na inakua na ina mzunguko Mkubwa wa pesa.
Subiri nitafute picha za kahama huko kusini hakuna mji wa kuusogeleaNa miji ya kusini yote imetandikwa vibaya mno na mji mmoja tu wa bukoba.
Angalia kilometa za mraba za manispaa ya bukokoba tayari eneo lilishajaa the same at moshi and kigoma ujiji maeneo hayo ni madogo kwa mipaka yake hivyo huwezi kuanzisha mradi kwa sababu viwanja vilishajaa leo hii ukitaka hekari 100 uanzishe kiwanda bukoba manispaa huwezi kupata hivyo hawana vyanzo vipya vya mapato tatizo ni ufinyu wa eneo mfano kahama manispaa wanamaeneo makubwa ndio maana viwanda vingi vidogo vikubwa na vya kati vinajengwa hapo najuzi umy mwalimu kafanya kikao cha wakuu wa mikoa waganga wakuu na maafisa lishe nchi nzima wakiwemo na wa njombe ili kujifunza jinsi ya kutumia mapato ya ndani kuanzisha miradi ya maendeleo kahama manispaa imekusanya mapato ya ndani shilingi bilion 9 point 6 imekuwa manispaa ya mfano leo hii wanaweka lami km 5 kwa pesa ya ndani wanabomoa majengo ya mahakama na kujenga gorofa kwa mapato ya ndani halmashauri zingine ikiwemo njombe hazifanyi hivyo wanapeleka matumboni mwao tuVipi Kuhusu ile village town ya Bukoba inayoitwa Manispaa kwa nini haina mapato? ππππ Unatapatapa.
Simple answer ni your village town has got no resources generate income.
Ukweli ni kwamba tena usiopingika nyumba nzuri vijijini ziko moshi na bukoba ila sehemu zingine ni cheche tu hakuna cha maanaMaskini
Yan Kama na sisi tuanze kupost mashamba ya chai,kahawa, migomba na miwa
Nyie huko kusini hamna nyumba nzr vijijini kubalini tu
View attachment 1927869View attachment 1927898View attachment 1927899View attachment 1927900View attachment 1927901View attachment 1927902View attachment 1927903
Ukiondoa mbeya jiji na iringa manispaa hio miji mingine imedumaa washukuru vilami vya bank ya dunia ndio kidogo vimewachangamshaTuna Miji mizuri, ya kisasa na iliyojengeka vema. Kama vile Iringa, Mafinga, Songea, Mbeya, Sumbawanga,
Huko kanda ya ziwa ni mwanza pekee,
Bukoba hamna tofauti na halmashauri ya mji wa Kyela.